Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Leo nimekutana nae kaniuliza mbona sijamtafuta 😅Huyu huyu utakuta kwa mwanaume mwingine anakua mtiifu ushirikiano anatoa vizuri. Kuna wadada kama hujamvutia yaan unaweza dhania mna ugomvi hayo majibu atakayokupa. [emoji23][emoji23][emoji23] Pole
Mwaka ushaisha ujue 😃😃😂Leo nimekutana nae kaniuliza mbona sijamtafuta 😅
Ila ashanitoka anaongea sana. Kwanza nimejiunga nofapp ngoja mwaka uishe bila bila
Uishe na sisi basi yani mwaka mzima hubishi hodi malangoniMwaka ushaisha ujue 😃😃😂
Malezi na makuzi yanachangia hali hiyo pia, kuna watu hawana ustaarabu hata wa kufake kwa muda.Hizo si nyodo Wala maringo mm naita ni roho mbaya, kwani kumjibu kistaarabu mtu aliekutongoza halafu humtaki inagharimu tsh ngapi, saa ingine mdada anakutukana bila sababu kisa umemtongoza tu kistaarabu, mpaka unajiuliza kwa tabia hii huyu mdada ataolewa au atadumu kwenye ndoa kweli Half american
Mimi ni meongelea ke wote bila kujumuisha wala kutojumuisha wa familia yoyote, as as ni kausha damu acha ulimwengu umfundishe tuHapo mwishoni umekosea vipi
mwanao apewe mimba na alie mpa kasepa
utajiskiaje kama mzazi?
Mapenzi sio favour ya upande mmoja hata nyie wenyewe mnahitaji kukumbatiwa na kupelekewa moto. It mutualy preasure.Muwe mnalala kitandani na hela zenu mmezikumbatia.
Mpumbavu wewe na mama yakoMtoa mada ni mpumbavu mnataka wanawake wachapakazi, mkiwapata mnaenda kuchepuka na hao hao kausha damu kisa wanajua kukata viuno kuliko hao wachapakazi, karne hii sishauri mwanamke yeyote amuonee huruma mwanaume fukara kwenye mapenzi maana hamna shukrani muendelee kutapeliwa hivyo hivyo majnuni wakubwa nyie
Nilichogundua huu uzi umejaa wanaume wanaonuka umaskini, Siku zote maskini wanakuaga very bitter, narcissistic, sadist wakizidisha wanakua wachawi mfyuuu. Umaskini mbaya sanaa.
Kati ya mama yangu na mama yako aliyezaa fungu la kukosa kama wewe ni nani mpumbavu, ninyi wenyewe masikini wa kutupa ila kutwa kuwasema wanawake masikini kana kwamba ninyi mna hela, na huo ndio ukweli mchungu tafuteni hela karne hii hakuna kupendwa wala kuonewa huruma majnuni nyieMpumbavu wewe na mama yako
Hii inatokea kama una helaa na mwanamke anakuzungusha kuvua Kyupi...!!Mwanamke akikuelewa hasumbui kabisa na kama unajua kum tame kama yuko karibu within 3 days lazma uwe ushamgonga. Akiwa nje ya mkoa atakufata tu.
Anaondoa password zote yani, ukiona mwanamke ni mtu wa kukuzungusha ilihali ushaonesha interest kwake ujue tu ni kwamba hakupendi wala hana hisia na wewe.
We utakuwa Mwanaume wa Arusha tu2024 ukimtongoza demu akichomoa move on, don't keep friendly zone she will use you as a leverage for her financial needs. Kijana mwenzangu, 2024 date na mwanamke mwenye kazi halali inayomuingizia kipato ila hawa wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha shida zake piga hit and run. 2024 say no to "relationship kausha damu"
100% perfectMwanamke akikuelewa hasumbui kabisa na kama unajua kum tame kama yuko karibu within 3 days lazma uwe ushamgonga. Akiwa nje ya mkoa atakufata tu.
Anaondoa password zote yani, ukiona mwanamke ni mtu wa kukuzungusha ilihali ushaonesha interest kwake ujue tu ni kwamba hakupendi wala hana hisia na wewe.
Alikuona wewe ni Msaidizi wa Makonda au Makamba hivyo akaamini wewe ni Mlamba Asali pesa ipo.Kuna baadhi ya Wanawake hawana aibu kabisa, kuna mmoja ni mshangazi classmate wa sister nilikutana nae mjini tukabadilishana namba akaanza kunisifia nimekuwa mbaba mara kunitafuta mara kwa mara nikabaki kushangaa huyu vipi, haikupita wiki ananiletea shida zake ana anaomba 1m, nilicheka na nilivyomjibu sina mpaka leo hii hajanicheki tena.
Mmeo anakutoshaNilichogundua huu uzi umejaa wanaume wanaonuka umaskini, Siku zote maskini wanakuaga very bitter, narcissistic, sadist wakizidisha wanakua wachawi mfyuuu. Umaskini mbaya sanaa.
Wa dizaini hii wanauza hadi Tigo sababu ya Pesa.Kuna mmoja nilikutana nae kwenye harusi tuka exchange number nikaimbisha siku ya 2 mtu ananiomba laki 2 out of thin air kwamba anataka ya saloon. WTF
Nikamuambia kwa hyo wewe mtu kuwa rafiki yako hadi akupe hela.
Mtu basi omba hata 50k utaeleweka mtu siku ya pili anataka laki 2. Hahaha kweli bongo tambalalez u know. Hahaha vijana madem wa kweli wapo na madem pisi kali njaa kali ni wa kumwaga pia.
DemuSasa ukimpa demu mimba then uingie mitini hapo unakuwa umemkomoa nani