Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Leo nimekutana nae kaniuliza mbona sijamtafuta 😅Huyu huyu utakuta kwa mwanaume mwingine anakua mtiifu ushirikiano anatoa vizuri. Kuna wadada kama hujamvutia yaan unaweza dhania mna ugomvi hayo majibu atakayokupa. [emoji23][emoji23][emoji23] Pole
Ila ashanitoka anaongea sana. Kwanza nimejiunga nofapp ngoja mwaka uishe bila bila