2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Mdau ana hoja nzito maana siku hizi ni mwrndo wa kutaiminiana.
Ukweli ni kwamba wanaume tumefeli kucontrol mchezo, kwa kuruhusu zoezi linaloendeshwa kwa mafuta ya hisia(emotion) kuliendesha kwa mafuta ya vitu(materials)
sasa wanawake wamekosa pa kuwekeza hisia wanafanya kibiashara. Wasikose vyote!
Tukubaliane mwanaume lazima materially uwajibike kwa mwanamke
Hoja ibaki katika :
Kwa nani!
Kivipi!
Kiasi vs uwezo!
Sabab!
Kwanini!
..TUKUMBUKE SI KILA MSAADA KWA MWANAMKE NI KWA FAIDA YAKE TU BALI NI FURAHA KWA MWANAUME KATIKA KUJIPIMA UANAUME WAKE.
Ndo mana wakat mwingine tunajikoki kupigwa vitu/pesa had wanashangaa.(revealed: tabasam la mwanamke, hasa mwenye mwanya, huongeza kinga dhidi ya magonjwa ya afya ya akili kwa mwanaume!)
...LOVE RESPONSIBLY
 
Kuna uzi wangu humu wa Mwaka 2019.

Demu namsafirisha anavuka mikoa mitatu kuja nilipo. Na hatujaonana zaidi ya Mwaka na anadai ananipenda sana.

Ila Gemu yake ni ya kizembe sijawahi ona Gogo kama lile.

Nikipiga bao moja tu anadai amechoka.

Hapo nimetumia gharama kibao.

Na anataka nimhudumie kama Mke.
Mayoooo!!!! Sikumwambia ila vitendo vyangu mpaka alikonda.

Nilimchana nikamwambia hajielewi na siko tayari kuhudumia mtu mbinafsi........hatujaonana More than 1yr unakuha na Game dhaifu kiasi kile?

Alikuwa na Msambwansa alidhani nitampigia magoti
 
Vijana wanapigwa sana mpaka wamekuqa watumwa wa Ngono.

Kijana anaenda kuchimba Mchanga anapata Let say elfu 30

Katika hizo 15 ni za Demu ambaye anamsimanga kampa pesa kidogo
 
Acha bhana[emoji847]
 
2024 ikianza utakua mwalimu wangu ,ngoja nimalizie kwanza 2023 hiz sku 5 kwanza.
 
Nilichogundua huu uzi umejaa wanaume wanaonuka umaskini, Siku zote maskini wanakuaga very bitter, narcissistic, sadist wakizidisha wanakua wachawi mfyuuu. Umaskini mbaya sanaa.
Kikubwa umaskini unaanziaga kichwani na unaishiaga kwenye kukwepa uwajibikaji. Sasa kama mtu mzima unakwepa kuwa responsible na maisha yako unataka vya dezo tu you must be the real problem. Mwanaume akubebee mizigo yako kama nani
 
Huu ni mtego hakuna mshamba, wanaume msije mkanaswa hapa, hii ni mbinu yao nyingine wanayotaka kujanayo 2024,

Kumuhudumia mwanamke na kumlaghai ili aje gheto mwenyewe hakuna tofauti na kutuma nauli pamoja na yakutolea.

Wanaume mpuuzen depal na ushauri wake mtakuja kuumia sana.

Kama anataka huduma, hela aje afate gheto hataki piga chini wanawake wapo wengi sana
 
Usilie
 
Hapo utaitwa marioo, utaambiwa mwanaume dhaifu unakwepa majukumu n.k.. wanawake wanataka usawa lakini hawataki kubeba wajibu unaotokana na huo usawa.
Wanawake ni kuishi nao kitaliban taliban tuu....wee wakandamize tuu wala usione huruma...yaani kandamiza kweli kweli mwanawane maana wao hawanaga chembe ya huruma kwa mwanaume
 
Unawatukana watu kisa pesa zao wanazotafuta kwa Jasho lao?

Una shida mahala wewe
Pesa zipi hizoo kwa mfano? vi elfu 10 vya mawazo,shenzy kabsa mwanaume mwenye pesa huezi kuta kwenye uzi kama huu akikaza fuvu nye nye nyee,sana sana ni wale wanaosikilizia michongo vijiweni vibarua,au wale wajobless ndo wapo humu wanatokwa mapovu na matusi juu.Narudia tena umaskini mbaya na ni roho mbayaaa.Nashukuru Mungu kwa kunitoa kwenye hilo janga sitegemei pesa za mawazo kuishi najitosheleza haswaaa.Vipi umeshapata Chai au nikutumie?
 
Demu mwenye msambwanda kuwa mvivuu inakeraa maraa 1000 bora asiwe nalo tyu.. Unakutaa limejilaza hapo pembenii kama linguruwe poroii.
 
Pisi Kali Simu Kali Njaa Kali

Kweli Game Gumu, Povu La Litre 20 hilo.

Ishi na Vyako Dada

Case Closed [emoji38][emoji38][emoji38]
Umeona wapi nataka hizo chenchi zenu za karanga? Shenzy kabsa wewe mi nimejitosheleza sitegemei pesa za maskini nyie, ili niishi Na gemu halijawahi kuwa gumu kwangu abadani toka nimezaliwa,acheni kutafuta huruma "umaskini" ni roho kamili .Tafuteni hela acheni kulalama.Na mkome kuwasimanga wanawake.Muwe mna date size zenu mnazoweza kumudu.
 
Najua kuna wadangaji, washamba wa mapenzi na waliolishwa limbwata watakuja kutapika hapa, wapuuzeni hao. Kijana mwenzangu 2024 binti wa mtu akikuletea pigo za kausha damu piga mimba ingia mitini.
Nakubaliana na vyote ila sio kupiga mimba na kuingia mitini! Hakuna kitu kibaya kama kuitekeleza damu yako tena kwa makusudi! Itakutafuna sana!!
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…