2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Kuna mmoja nilimpa 100k Juzi, jana ananiambia dada ake aliomba 25k so akampa, bila haya akanambia kwa lugha ya wizi nanukuu "mpnz wangu kwa hiyo nakudai 25k yangu niliyompa dada"
 
Mimi nataka mwanamke goal keeper ila asiwe amenipendea hela Abby Uladu
Mwanamke kama umemchukua kwao unaishi akiwa mama wa nyumbani ni sawa unawajibika kumtunza maana uyo ni mke wako. Shida hawa kausha damu unakuta anakaa kwao ila anataka umhudumie wakati huo ni wajibu wa wazazi wake. Mwingine kapanga anataka umlipie kodi sasa kwanini aondoke nyumbani kwao wakati hana uwezo wa kumudu kulipa kodi. Kumuhudumia mwanamke sio tatizo ikiwa ni mkeo unaeishi nae tatizo la kausha damu wakisikia kuhudumiwa na mwanaume basi ndio wanajua gharama za vikoba na tamaa za kuvukuzana na fashion za nguo na versions za iphone zinatakiwa kubebwa na mwanaume.
 
Af mtu kama huyo nina uwakika hata hiyo pesa hana! Mtu anayetafuta pesa na kuzipata hawezi andika huo upuuzi!
 
Kuna mmoja nilimpa 100k Juzi, jana ananiambia dada ake aliomba 25k so akampa, bila haya akanambia kwa lugha ya wizi nanukuu "mpnz wangu kwa hiyo nakudai 25k yangu niliyompa dada"
Wanawake ni selfish sana wanafurahia kutumbua pesa za wanaume ila zao wanatumia kwa hesabu kali sana! Kuna limoja nilichukua no ilikuwa alhamis hivi, then jmos tukameet kwanza intro kaja kabebana rafiki yake nikamuuliza vipi huyu kaja kufanya nini akaanza kujitetea na blaa blaa nyingi nikaona sio kesi! Tukakaa me nikaagiza guiness smooth wao wakaagiza image na mbuzi vipande viwili me nawachora tu….Sasa kuna siku natoka job akaniambia nimpitie sokoni bila hiyana nkaenda,, kilichonifungua macho ni kwamba alikuwa kaandika kwenye daftari mahitaji na bei. Kama bei aliyoandika kwenye daftari imepishana hata shillingi mia moja na bei anayoambiwa anakwenda pengine! Kile kitu kilinifunza sana nikaona madem hela zao wanazitumia kwa discipline sana ila zetu wanatumbua kama vile tunapewa bure! Nilijifanya nimepata sim ya emergency nikasepa na no nikafuta!
 
Tafuta pesa na date na wanawake under your level hautakuja juta. Kama wewe ni mhamga wa basic salary ya laki na nusu at least date na muuza mchicha inside beseni hautojuta maana akifilulia sana sana atakuomba capital ya 20000 thousand. Sasa wewe ni mlinzi unataka date na Malaya anamiliki ki ist akikuomba hela ya full tank ndo bajet yako ya kula mwezi mzima.lazma uone Hawa viumbe ni paapaa nyangumi wa Roma kuruhusu ushogalization
 
Ishu sio kuwapa hela ishu ni kuwakumbusha kuwajibika. Yaani mwanamke anunue ist halafu hela ya mafuta anaomba huo ni upambavu ambao hautakiwi kuungwa mkono
 
Kauli za wanaume wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…