2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Nilichogundua huu uzi umejaa wanaume wanaonuka umaskini, Siku zote maskini wanakuaga very bitter, narcissistic, sadist wakizidisha wanakua wachawi mfyuuu. Umaskini mbaya sanaa.
Tujitahidi kutafuta vyakwetu umalaya sio ishu sikuhiz...hata ukiolewa mwanaume anataka mwanamke mpambanaji...hakuna mwanaume anataka mke goal kipper

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Suala sio kuwabania suala ni kuwakumbusha wajibu wao. Hii kupuuzia puuzia kwa kuona iyo hela ni ndogo tumefika hatua wanawake wanaona kupewa hela ni haki yao. Hatuwezi kutengeneza kizazi cha kausha damu.
Vipi na majukumu ya kazi za nyumbani kupika, kuosha vyombo, kulea, kusafisha nyumba, nk huwa ni wajibu wa nani
 
Nilichogundua huu uzi umejaa wanaume wanaonuka umaskini, Siku zote maskini wanakuaga very bitter, narcissistic, sadist wakizidisha wanakua wachawi mfyuuu. Umaskini mbaya sanaa.
Wewe utakuwa tajiri ombaomba, Mbona kama imekuchoma?
 
Hahaa ulivyosema bongo tambalale umenikumbusha marehemu king of social media u know
Mleta mada uko sahihi sana i feel what u say big tym, hayo maviumbe ni maj!n! mufilisi. Hela ninayo na sioni taabu kutoa ila sitoi na sitatoa hela kwa mwanamke ambae hana chembe ya huruma, utu na ubinadamu. I observe too well i know.

Sina tatzo na kuomba hela ila kuna vitu mwenyewe na vi expect toka kwake from my care and affection nayompa ila utakuta Yani ni maviumbe flan selfish sanaa yanjiangalia yenyewe tu yani ukutane nalo moja li zembe alaf halijitumi kufanya kazi let alone kuchangia hata mawazo chanya yakukusogeza hayana ila ni kuomba hela na kutaka kukutumia tu…..

Kuna mmoja nilikutana nae kwenye harusi tuka exchange number nikaimbisha siku ya 2 mtu ananiomba laki 2 out of thin air kwamba anataka ya saloon. WTF
Nikamuambia kwa hyo wewe mtu kuwa rafiki yako hadi akupe hela.

Mtu basi omba hata 50k utaeleweka mtu siku ya pili anataka laki 2. Hahaha kweli bongo tambalalez u know. Hahaha vijana madem wa kweli wapo na madem pisi kali njaa kali ni wa kumwaga pia.
 
Mdau ana hoja nzito maana siku hizi ni mwrndo wa kutaiminiana.
Ukweli ni kwamba wanaume tumefeli kucontrol mchezo, kwa kuruhusu zoezi linaloendeshwa kwa mafuta ya hisia(emotion) kuliendesha kwa mafuta ya vitu(materials)
sasa wanawake wamekosa pa kuwekeza hisia wanafanya kibiashara. Wasikose vyote!
Tukubaliane mwanaume lazima materially uwajibike kwa mwanamke
Hoja ibaki katika :
Kwa nani!
Kivipi!
Kiasi vs uwezo!
Sabab!
Kwanini!
..TUKUMBUKE SI KILA MSAADA KWA MWANAMKE NI KWA FAIDA YAKE TU BALI NI FURAHA KWA MWANAUME KATIKA KUJIPIMA UANAUME WAKE.
Ndo mana wakat mwingine tunajikoki kupigwa vitu/pesa had wanashangaa.(revealed: tabasam la mwanamke, hasa mwenye mwanya, huongeza kinga dhidi ya magonjwa ya afya ya akili kwa mwanaume!)
...LOVE RESPONSIBLY
Kaka hamna mwanaume ambae hapendi kumpa hela mwanamke wake, shida wadada wengi sahivi wako kimaslahi, mdada hajavutiwa na wewe kimapenzi kukuchuna anataka, kimahusiano mwanaume unakua unahisi unatumika Rwaz
 
Wanaume walio wengi wanaingia gharama kuwafanyia wema wanawake kwa kuongozwa na huruma ya kuwaona wanawake ni innocent and honest creatures au kujitengenezea mazingira ya kupewa mbususu.

Sikilizeni vijana, wanawake wa sasa almost wote ni mataperi, shida wanazoombea msaada wa kifedha ni uongo. Ukiombwa hela kwa ajiri ya luku, kwenda hospitali, n.k jua ni uongo na iyo text ya kuombwa hela hautumiwi peke yako, text iyo iyo moja mnatumiwa sio chini ya wanaume 20 na wanaume watakaofanya muhamala basi wanawake wanaona mafala na kuwadhiaki sana uko kwenye story zao saluni na magetoni kwao.

2024 ukimtongoza demu akichomoa move on, don't keep friendly zone she will use you as a leverage for her financial needs. Kijana mwenzangu, 2024 date na mwanamke mwenye kazi halali inayomuingizia kipato ila hawa wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha shida zake piga hit and run. 2024 say no to "relationship kausha damu"

Washkaji zako wa kiume wakikwama hata kwa mambo yasiyo na lazima kama mfuko upo vizuri walinde maana na wewe siku ukikwama watukulinda ila wanawake hapana maana wanawake hawana msaada wowote mwanaume ukifulia.

Najua kuna wadangaji, washamba wa mapenzi na waliolishwa limbwata watakuja kutapika hapa, wapuuzeni hao. Kijana mwenzangu 2024 binti wa mtu akikuletea pigo za kausha damu piga mimba ingia mitini.
Nakazia hapa
 
Katika watu pesa zao zina macho ni wanawake, kwanza ni wabahili halafu wana hesabu kali sana, mtu ana pesa mkononi hivi sasa imepangiwa mipango miezi sita ijayo. Halafu kutoa pesa zao huwa inawauma sana. Lakini tuishi nao. Mwanamke anaweza kuwa na milioni anatamani elfu tano yako.
Kweli mkuu wanawake ni natural receivers hata afanye kazi pesa yake haionekani na ni wabahili wanaume ni natural giver take that.
 
Back
Top Bottom