Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #61
Kausha damu kupigwa mimba na kutelekezwa ni haki yenu kabisa.Hapo ndiyo kaharibu uzi wote
Funzo watapata kausha damu wa huko Songea.....swali gani sasa hili na ww mkuu.Mtu kapewa mimba Songea huko
Kausha damu wa Dar atapataje funzo?
Kausha damu uyo anatafuta angle ya kujipa farajaSasa hii inahusiana nini na hilo katazo hapo?
Kwamba wewe unaona ukifanya hivyo it's okay kwa kuwa ni somebody's sister girl or whatever?
Mimi sio kausha damu mkuuKausha damu kupigwa mimba na kutelekezwa ni haki yenu kabisa.
Sawa kama wewe sio mmoja wao. Ila hayo makausha damu sio mawanawake ya kuyatetea kabisa. Ni sawa na magaidi tu kuyashughulikia piga risasi yafe kabisa habari za haki za binadamu ni upuuzi tu. Limwanamke target yake ni kukupiga sasa ulionee huruma ya nini. Ukilihurumia likija kupata nafasi litakuumiza bila huruma. Ukipata nafasi ya kumuumiza kausha damu akikisha unaacha legacy ya maana funua malinda tia mimba ingia mitini.Mimi sio kausha damu mkuu
Akikukausha si ndo utapata akili ya kuendelea kulima mazao mbali mbali ili uwe na pesa mingi baada ya kuuza mavuno?Eheeeh nipe madini akili inikae sawa😅.
Kwahiyo nitafute kausha damu ili nipate zaidi?nitaendelea kweli na hii biashara yangu ya kilimo?kutoa pesa tu kila muda.
Bhaaaas kuanzia sasa naanza kutoa pesa,mwanamke akipokea tu salama namcredit .🤣Akikukausha si ndo utapata akili ya kuendelea kulima mazao mbali mbali ili uwe na pesa mingi baada ya kuuza mavuno?
Sasa usipokuwa na kausha damu unaweza chill kwa confort zone ya kulima zao moja 😂
Yan hapo utawakimbia wewe sasa 😂Bhaaaas kuanzia sasa naanza kutoa pesa,mwanamke akipokea tu salama namcredit .🤣
Basi wakipata wa SongeaFunzo watapata kausha damu wa huko Songea.....swali gani sasa hili na ww mkuu.
Nikipigwa tukio uwe wa kwanza kunibembeleza.Yan hapo utawakimbia wewe sasa 😂
Kuna mijitu mingine ni mifala haielewi ipo tayari kujitesa ili kumfurahisha kausha damu. Kuna dogo aliniomba nimchangie hela ampe demu wake amemuomba hela ya kununua simu. Nilimkamata yule dogo nikamchalaza bakora.Ukishaona mwanamke anakuomba pesa kwa kukuita majina ya sweet,honey darling kimbia haraka sana hilo kausha damu
Hawa ndio wale ambao wana support sisters mothers wadangeSasa hii inahusiana nini na hilo katazo hapo?
Kwamba wewe unaona ukifanya hivyo it's okay kwa kuwa ni somebody's sister, girl or whatever?
Utambulia matusi tuu ndugu yanguHivi kumuomba mwanamke hela ni vibaya?
Kama anakupiga mizinga na wewe siku ukikwama unamuomba, hapo vipi?
Wewe ni kausha damu au mwanaume dhaifu unaetumia hela kuficha udhaifu wako. Kausha damu wanakuchora tu unajiona mjanja kumbe wenzako wanakuona fala tu.Tafuta ajira mkuu
.shida ni kwamba Huna hela.
Kama wadada ni wabahili hivyo mbona asilimia kubwa ya biashara kubwa na za kati na utajiri, vinamilikiwa na sisi wanaume, labda in future uchumi wa dunia utashikiliwa na wanawakeKatika watu pesa zao zina macho ni wanawake, kwanza ni wabahili halafu wana hesabu kali sana, mtu ana pesa mkononi hivi sasa imepangiwa mipango miezi sita ijayo. Halafu kutoa pesa zao huwa inawauma sana. Lakini tuishi nao. Mwanamke anaweza kuwa na milioni anatamani elfu tano yako.