2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Mimi sio kausha damu mkuu
Sawa kama wewe sio mmoja wao. Ila hayo makausha damu sio mawanawake ya kuyatetea kabisa. Ni sawa na magaidi tu kuyashughulikia piga risasi yafe kabisa habari za haki za binadamu ni upuuzi tu. Limwanamke target yake ni kukupiga sasa ulionee huruma ya nini. Ukilihurumia likija kupata nafasi litakuumiza bila huruma. Ukipata nafasi ya kumuumiza kausha damu akikisha unaacha legacy ya maana funua malinda tia mimba ingia mitini.
 
Eheeeh nipe madini akili inikae sawa😅.

Kwahiyo nitafute kausha damu ili nipate zaidi?nitaendelea kweli na hii biashara yangu ya kilimo?kutoa pesa tu kila muda.
Akikukausha si ndo utapata akili ya kuendelea kulima mazao mbali mbali ili uwe na pesa mingi baada ya kuuza mavuno?
Sasa usipokuwa na kausha damu unaweza chill kwa confort zone ya kulima zao moja 😂
 
Mkuu tuanze na Huyu kufunga nae mwak.[emoji850][emoji850][emoji16]
Screenshot_2023-12-21-08-18-45-424_com.google.android.apps.messaging.jpg
 
Ukishaona mwanamke anakuomba pesa kwa kukuita majina ya sweet,honey darling kimbia haraka sana hilo kausha damu
Kuna mijitu mingine ni mifala haielewi ipo tayari kujitesa ili kumfurahisha kausha damu. Kuna dogo aliniomba nimchangie hela ampe demu wake amemuomba hela ya kununua simu. Nilimkamata yule dogo nikamchalaza bakora.
 
Katika watu pesa zao zina macho ni wanawake, kwanza ni wabahili halafu wana hesabu kali sana, mtu ana pesa mkononi hivi sasa imepangiwa mipango miezi sita ijayo. Halafu kutoa pesa zao huwa inawauma sana. Lakini tuishi nao. Mwanamke anaweza kuwa na milioni anatamani elfu tano yako.
Kama wadada ni wabahili hivyo mbona asilimia kubwa ya biashara kubwa na za kati na utajiri, vinamilikiwa na sisi wanaume, labda in future uchumi wa dunia utashikiliwa na wanawake

Ulichoongea hata Mimi kinanishangaza, utakuta unafanya kazi na mdada ofisi Moja, mshahara Mmoja, hujawahi muonesha hata ishara ya kumtongoza, hamfahamiani vizuri, anakupiga kizinga, unajiuliza za kwake anazipelekaga wapi 100 others
 
Back
Top Bottom