2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Asante kwa ushauri wako, tutazingatia.
 
Labda alikutoza kila siku laki ya urafiki Mkuu. 😂😂
 
Yote upo sawa lakini hapo katika sentesi ya mwisho kwamba mwanamke umpige mimba halafu uingie mitini naipinga.

Vijana wajitahidi kua uanaume unaambatana na kuyakabili majukumu. Kwa kifupi we should learn to be responsible fathers kupunguza hii kasi inayokuja kwa wingi ya single mothers.

Kumbuka mwanamke azalishwi na mtu yoyote tu. Ukishaona mwanamke amekupa nafasi ya kukuzalia jua kabisa amekupenda huyo (hapa sizungumzii yule single mother aliyezalishwa na msela baada ya kupigwa tukio ndio anataka umzalishe ili apate unafuu wa maisha umlee yeye pamoja na hilo toto la mwanaume mwenzako). Kuna few exceptions katika hili pia.
 
Samahani mkuu, naomba nikuulize. Kwahiyo ukiombwa 50K unatoa?? [emoji1][emoji28]
 
Andiko limekaa kibepari sana
Unajua zamani kipindi nipo mdogo nilikua nikisikia wanawake wananyimwa fursa ya kuwa na kipato, elimu, kumiliki mali, kufanya maamuzi wao binafsi nilikua naona wanaonewa ila baada ya kukua na kuwaelewa wanawake nikagundua wazee wetu walikua sahihi kabisa kumnyima izo fursa mwanamke. Ujinga wetu wa kupokea ideologies za wazungu bila kuzifanyia reforms ziendane na mazingira yetu matokeo yake ndio tumefika hapa. Mwanamke kamezeshwa ideology ya usawa lakini hajaambiwa atatakiwa kubeba wajibu wa matokeo ya huo usawa ndipo hapo sasa mwanamke hata akiwa na kipato bado anataka ahudumiwe na mwanaume. Njia pekee ya kurudisha jamii kwenye mstari ni kuurudisha mfumo dume.
 
Kausha damu ni halali yao kupigwa tukio. Yeye anakuja kwako kwa lengo la kukupiga sasa kwanini umuonee huruma? Kumbuka yeye akipata nafasi ya kukupiga hatokuonea huruma. A relationship with kausha damu is a dance with devil, ukijifanya gentleman sijui nice guy unapigwa na kitu kizito.
 
Hao ni wa huko daslam mkuu,, sisi huku nanjilinji hatujui kuomba hela bado😂
Mimi nlikuwa kijijini ndani ndani kuliko hata nanjilinji, ila nlipigwa kizinga na kidemu Cha sekondari ambacho hakijawahi hata kuumizwa kwenye mahusiano, hakijawahi miliki smartphone, na hajui mjini pakoje, gheto hakaji ila elf 10 anaitaka, alivoomba elf 10 na miadi ya kuja gheto anaichomoa, nkamwambia sawa, hela sikumpa, nkamchunia na mahusiano yetu yaliishia hapo Leejay49
 
Ujue nyie mnakosea sana
Hamjui timing kabisa
Mmekaa kizembe sana’ nyie wakuwaita madem ghetto.
Kahudumie, kalaghai mpk kaombe kuja kenyewe.. ukikalazimishia kuifata ghetto kanakuona pussy hunter’ wachache sana watakaokubali kuja, wengi ndio hao wanakwepa.
 
😃😃😃
 
Kwanini upewe huduma kabla ujatoa mbususu? Izo mbinu za kuwapiga washamba wa mademu. Huo ni mtego demu akienda geto analiwa na anaweza asipewe iyo hela au akapewa pungufu na aliyoahidiwa na jamaa akitoa huduma anaweza kuingia gharama tu na asipewe uchi. Hakuna mzembe hapo kila mmoja anamfanyia timing mwenzake.
 
Uzembe hupo hapo kwenye kumuita, acha atange tange mpk atake kuja mwenyewe
 
Kama una mwanamke wa hivyo mshikilie sana usimwache aende zake, huku mtaani watu hoi Nrangoo
Kweli mkuu, naelewa sana hali halisi kwani mimi mpaka kufikia hatua ya kutulia na huyu basi cha moto nilikiona, na ukishapata mwanamke anayekupenda na haombi hela then ukakutana tena na mwanamke anayeomba pesa sijui unamuonaje, 😀.

Hata nguvu za kuchepuka sasa sina tena kama nilivyokuwa awali. Hapa ninavyozungumza tiyari kashaniambia Jmosi hii tarehe 23 Dec kuna zawadi ya Christmass nikapokee kwenye basi la Kilimanjaro. Mkesha wa Christmass kasema hataki nitoke niende popote, pesa ya wine atatuma nitulie home tu.

Nitake nini tena mimi jamani.🤲

NB: Mimi siyo Marioo , nina kipato changu na huwa tunasaidiana pia. Love is a two way traffic. YAANI nipe nikupe!
 
W
Wana changamoto zao, kwa mfano huyu wangu anaripoti kila anachokifanya. Halali bila kunitafuta na mie kila akipiga usiku napokea namwambia nimelala kesho. Kuna mda anajisahau namkumbusha makubaliano yetu ananinunia hata wiki then anakaa sawa. Yaani anataka tuishi kama ntu na ntuwe lakini nataka kumfundisha kuna watu hatupimwi.
 
Binafsi Sina huo upumbavu uniite nyuki Sina madhala sawa,mwanaume unalegea sawa mwanaume bahili sawa yaani Hadi nije nikupe pesa labda niamue mwenyewe ila hakuna mwanamke wankunitapeli Bado hajazaliwa.
 
Dada yangu umeongea vema, ila ngoja nikupe mtizamo wangu na wanaume wengi.

Hao wadada wanaokataa kuja gheto, wengi hawaji kwasababu wanakuwa hawajavutiwa kimapenzi na mimi, na sio kwasababu wananiona mimi ni pussy hunter wa kuwachezea na kuwaacha. Hao wadada wengi unaosema ambao hawaji gheto kisa tumewaalika mapema, utakuta wanaenda gheto kwa wanaume wengine, just few days after meeting those men

Kuhusu kuhudumia hadi walegee, hivi nyie wadada mnajijua kweli, mara nyingi unaweza wekeza hivyo vyoteee, pesa, muda, hisia kwa mdada, hata kwa miaka 5,!! imagine!!! na usiambulie hata busu, wanaume wenzangu wasioweka effort nilioweka kwake, wanateleza nae tu kirahisi, na wana-treatiwa vizuri kuliko Mimi nliewekeza kwake, so ni swala la PATA potea

Mimi binafsi, Ninavyomwalika demu gheto ni mawili, its either mm ni pussy hunter kweli, nataka nipige nisepe, au napima interest yake kwangu, Depal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…