Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #101
Kaeni mbali na kemeeni kabisa ilo pepo la kuomba hela.Hao ni wa huko daslam mkuu,, sisi huku nanjilinji hatujui kuomba hela bado[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaeni mbali na kemeeni kabisa ilo pepo la kuomba hela.Hao ni wa huko daslam mkuu,, sisi huku nanjilinji hatujui kuomba hela bado[emoji23]
AmenKaeni mbali na kemeeni kabisa ilo pepo la kuomba hela.
Asante sana "a shoulder to cry on"Shaka ondoa, niko hapa 😂
Asante kwa ushauri wako, tutazingatia.Wanaume walio wengi wanaingia gharama kuwafanyia wema wanawake kwa kuongozwa na huruma ya kuwaona wanawake ni innocent and honest creatures au kujitengenezea mazingira ya kupewa mbususu.
Sikilizeni vijana, wanawake wa sasa almost wote ni mataperi, shida wanazoombea msaada wa kifedha ni uongo. Ukiombwa hela kwa ajiri ya luku, kwenda hospitali, n.k jua ni uongo na iyo text ya kuombwa hela hautumiwi peke yako, text iyo iyo moja mnatumiwa sio chini ya wanaume 20 na wanaume watakaofanya muhamala basi wanawake wanaona mafala na kuwadhiaki sana uko kwenye story zao saluni na magetoni kwao.
2024 ukimtongoza demu akichomoa move on, don't keep friendly zone she will use you as a leverage for her financial needs. Kijana mwenzangu, 2024 date na mwanamke mwenye kazi halali inayomuingizia kipato ila hawa wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha shida zake piga hit and run. 2024 say no to "relationship kausha damu"
Washkaji zako wa kiume wakikwama hata kwa mambo yasiyo na lazima kama mfuko upo vizuri walinde maana na wewe siku ukikwama watukulinda ila wanawake hapana maana wanawake hawana msaada wowote mwanaume ukifulia.
Najua kuna wadangaji, washamba wa mapenzi na waliolishwa limbwata watakuja kutapika hapa, wapuuzeni hao. Kijana mwenzangu 2024 binti wa mtu akikuletea pigo za kausha damu piga mimba ingia mitini.
Labda alikutoza kila siku laki ya urafiki Mkuu. 😂😂Mleta mada uko sahihi sana i feel what u say big tym, hayo maviumbe ni maj!n! mufilisi. Hela ninayo na sioni taabu kutoa ila sitoi na sitatoa hela kwa mwanamke ambae hana chembe ya huruma, utu na ubinadamu. I observe too well i know.
Sina tatzo na kuomba hela ila kuna vitu mwenyewe na vi expect toka kwake from my care and affection nayompa ila utakuta Yani ni maviumbe flan selfish sanaa yanjiangalia yenyewe tu yani ukutane nalo moja li zembe alaf halijitumi kufanya kazi let alone kuchangia hata mawazo chanya yakukusogeza hayana ila ni kuomba hela na kutaka kukutumia tu…..
Kuna mmoja nilikutana nae kwenye harusi tuka exchange number nikaimbisha siku ya 2 mtu ananiomba laki 2 out of thin air kwamba anataka ya saloon. WTF
Nikamuambia kwa hyo wewe mtu kuwa rafiki yako hadi akupe hela.
Mtu basi omba hata 50k utaeleweka mtu siku ya pili anataka laki 2. Hahaha kweli bongo tambalalez u know. Hahaha vijana madem wa kweli wapo na madem pisi kali njaa kali ni wa kumwaga pia.
Samahani mkuu, naomba nikuulize. Kwahiyo ukiombwa 50K unatoa?? [emoji1][emoji28]Mleta mada uko sahihi sana i feel what u say big tym, hayo maviumbe ni maj!n! mufilisi. Hela ninayo na sioni taabu kutoa ila sitoi na sitatoa hela kwa mwanamke ambae hana chembe ya huruma, utu na ubinadamu. I observe too well i know.
Sina tatzo na kuomba hela ila kuna vitu mwenyewe na vi expect toka kwake from my care and affection nayompa ila utakuta Yani ni maviumbe flan selfish sanaa yanjiangalia yenyewe tu yani ukutane nalo moja li zembe alaf halijitumi kufanya kazi let alone kuchangia hata mawazo chanya yakukusogeza hayana ila ni kuomba hela na kutaka kukutumia tu…..
Kuna mmoja nilikutana nae kwenye harusi tuka exchange number nikaimbisha siku ya 2 mtu ananiomba laki 2 out of thin air kwamba anataka ya saloon. WTF
Nikamuambia kwa hyo wewe mtu kuwa rafiki yako hadi akupe hela.
Mtu basi omba hata 50k utaeleweka mtu siku ya pili anataka laki 2. Hahaha kweli bongo tambalalez u know. Hahaha vijana madem wa kweli wapo na madem pisi kali njaa kali ni wa kumwaga pia.
Unajua zamani kipindi nipo mdogo nilikua nikisikia wanawake wananyimwa fursa ya kuwa na kipato, elimu, kumiliki mali, kufanya maamuzi wao binafsi nilikua naona wanaonewa ila baada ya kukua na kuwaelewa wanawake nikagundua wazee wetu walikua sahihi kabisa kumnyima izo fursa mwanamke. Ujinga wetu wa kupokea ideologies za wazungu bila kuzifanyia reforms ziendane na mazingira yetu matokeo yake ndio tumefika hapa. Mwanamke kamezeshwa ideology ya usawa lakini hajaambiwa atatakiwa kubeba wajibu wa matokeo ya huo usawa ndipo hapo sasa mwanamke hata akiwa na kipato bado anataka ahudumiwe na mwanaume. Njia pekee ya kurudisha jamii kwenye mstari ni kuurudisha mfumo dume.Andiko limekaa kibepari sana
Kausha damu ni halali yao kupigwa tukio. Yeye anakuja kwako kwa lengo la kukupiga sasa kwanini umuonee huruma? Kumbuka yeye akipata nafasi ya kukupiga hatokuonea huruma. A relationship with kausha damu is a dance with devil, ukijifanya gentleman sijui nice guy unapigwa na kitu kizito.Yote upo sawa lakini hapo katika sentesi ya mwisho kwamba mwanamke umpige mimba halafu uingie mitini naipinga.
Vijana wajitahidi kua uanaume unaambatana na kuyakabili majukumu. Kwa kifupi we should learn to be responsible fathers kupunguza hii kasi inayokuja kwa wingi ya single mothers.
Kumbuka mwanamke azalishwi na mtu yoyote tu. Ukishaona mwanamke amekupa nafasi ya kukuzalia jua kabisa amekupenda huyo (hapa sizungumzii yule single mother aliyezalishwa na msela baada ya kupigwa tukio ndio anataka umzalishe ili apate unafuu wa maisha umlee yeye pamoja na hilo toto la mwanaume mwenzako). Kuna few exceptions katika hili pia.
Mimi nlikuwa kijijini ndani ndani kuliko hata nanjilinji, ila nlipigwa kizinga na kidemu Cha sekondari ambacho hakijawahi hata kuumizwa kwenye mahusiano, hakijawahi miliki smartphone, na hajui mjini pakoje, gheto hakaji ila elf 10 anaitaka, alivoomba elf 10 na miadi ya kuja gheto anaichomoa, nkamwambia sawa, hela sikumpa, nkamchunia na mahusiano yetu yaliishia hapo Leejay49Hao ni wa huko daslam mkuu,, sisi huku nanjilinji hatujui kuomba hela bado😂
Ujue nyie mnakosea sanaMimi nlikuwa kijijini ndani ndani kuliko hata nanjilinji, ila nlipigwa kizinga na kidemu Cha sekondari ambacho hakijawahi hata kuumizwa kwenye mahusiano, hakijawahi miliki smartphone, na hajui mjini pakoje, gheto hakaji ila elf 10 anaitaka, alivoomba elf 10 na miadi ya kuja gheto anaichomoa, nkamwambia sawa, hela sikumpa, nkamchunia na mahusiano yetu yaliishia hapo Leejay49
😃😃😃Mimi nlikuwa kijijini ndani ndani kuliko hata nanjilinji, ila nlipigwa kizinga na kidemu Cha sekondari ambacho hakijawahi hata kuumizwa kwenye mahusiano, hakijawahi miliki smartphone, na hajui mjini pakoje, gheto hakaji ila elf 10 anaitaka, alivoomba elf 10 na miadi ya kuja gheto anaichomoa, nkamwambia sawa, hela sikumpa, nkamchunia na mahusiano yetu yaliishia hapo Leejay49
Depal nimekuelwa sana mamaahUjue nyie mnakosea sana
Hamjui timing kabisa
Mmekaa kizembe sana’ nyie wakuwaita madem ghetto.
Kahudumie, kalaghai mpk kaombe kuja kenyewe.. ukikalazimishia kuifata ghetto kanakuona pussy hunter’ wachache sana watakaokubali kuja, wengi ndio hao wanakwepa.
Kwanini upewe huduma kabla ujatoa mbususu? Izo mbinu za kuwapiga washamba wa mademu. Huo ni mtego demu akienda geto analiwa na anaweza asipewe iyo hela au akapewa pungufu na aliyoahidiwa na jamaa akitoa huduma anaweza kuingia gharama tu na asipewe uchi. Hakuna mzembe hapo kila mmoja anamfanyia timing mwenzake.Ujue nyie mnakosea sana
Hamjui timing kabisa
Mmekaa kizembe sana’ nyie wakuwaita madem ghetto.
Kahudumie, kalaghai mpk kaombe kuja kenyewe.. ukikalazimishia kuifata ghetto kanakuona pussy hunter’ wachache sana watakaokubali kuja, wengi ndio hao wanakwepa.
Kwanini upewe huduma kabla ujatoa mbususu? Izo mbinu za kuwapiga washamba wa mademu. Huo ni mtego demu akienda geto analiwa na anaweza asipewe iyo hela au akapewa pungufu na aliyoahidiwa na jamaa akitoa huduma anaweza kuingia gharama tu na asipewe uchi. Hakuna mzembe hapo kila mmoja anamfanyia timing mwenzake.
Kweli mkuu, naelewa sana hali halisi kwani mimi mpaka kufikia hatua ya kutulia na huyu basi cha moto nilikiona, na ukishapata mwanamke anayekupenda na haombi hela then ukakutana tena na mwanamke anayeomba pesa sijui unamuonaje, 😀.Kama una mwanamke wa hivyo mshikilie sana usimwache aende zake, huku mtaani watu hoi Nrangoo
Wana changamoto zao, kwa mfano huyu wangu anaripoti kila anachokifanya. Halali bila kunitafuta na mie kila akipiga usiku napokea namwambia nimelala kesho. Kuna mda anajisahau namkumbusha makubaliano yetu ananinunia hata wiki then anakaa sawa. Yaani anataka tuishi kama ntu na ntuwe lakini nataka kumfundisha kuna watu hatupimwi.Ni muhimu kuwapa muongozo. Kuna mmoja nishawahi kumpelekea moto kuanzia hapo kila nikiienda maeneo ya ofisini kwake ananiambia ana njaa, akipiga simu nisipopokea au text nikichelewa kujibu tukionana tu anamaindi. Ikabidi nimwambie ukweli what happened btn us is just one night stand, don't take it serious.
Binafsi Sina huo upumbavu uniite nyuki Sina madhala sawa,mwanaume unalegea sawa mwanaume bahili sawa yaani Hadi nije nikupe pesa labda niamue mwenyewe ila hakuna mwanamke wankunitapeli Bado hajazaliwa.Hii misemo ya wanaume tumeumbwa mateso, kitanda hakizai halamu na mingine inayomtengenezea mwanaume fikra ya kukumbatia mateso hata kama ana nafasi ya kujinasua ni ya kipuuzi ndio misemo inayosababisha wanaume wanajibebesha tabu ambazo wangeweza kuziepuka, wanang'ang'ania limwanamke libinafsi, lisilokua na adamu na limalaya lililokubuu. limwanamke limefanya umalaya wake limekuletea mimba isiyokua yako halafu ulee tu eti kitanda hakizai halamu, limwanamke lichoyo, libinafsi, halina shukrani, halilidhiki, haliongezi value yoyote kwenye mahusiano uendelee kulilea tu eti wanaume tumeumbwa mateso.! that is total bullshit. Iyo misemo ni ya kizamani haipaswi kupewa kipaumbele kwenye kizazi hiki cha wanawake wadangaji na kausha damu.
Dada yangu umeongea vema, ila ngoja nikupe mtizamo wangu na wanaume wengi.Ujue nyie mnakosea sana
Hamjui timing kabisa
Mmekaa kizembe sana’ nyie wakuwaita madem ghetto.
Kahudumie, kalaghai mpk kaombe kuja kenyewe.. ukikalazimishia kuifata ghetto kanakuona pussy hunter’ wachache sana watakaokubali kuja, wengi ndio hao wanakwepa.