2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

The time unafinyiwa kwa ndani such ego itakuwepo hahaaa
Mnakamata wanaopenda hayo mambo,binafsi sijawahi mpenda Mwanamke Kwa viuno au anything of such issues.

Na bahati mbaya nimekuwa na mapenzi ya tahadhari siku nyingi sana kiasi kwamba nimevuka kiwango Cha kubabaishwa na wanawake.

Mwisho wanaume wengi ni dhaifu sana Kwa wanawake so hawawezi kuhimili wanayoandika hapa.
 
Ujue nyie mnakosea sana
Hamjui timing kabisa
Mmekaa kizembe sana’ nyie wakuwaita madem ghetto.
Kahudumie, kalaghai mpk kaombe kuja kenyewe.. ukikalazimishia kuifata ghetto kanakuona pussy hunter’ wachache sana watakaokubali kuja, wengi ndio hao wanakwepa.
Waache waendelee kulalamika, mtoto wa secondary anakusababishia headache? Na wakati hao tunawakwepa kuepuka aibu kwenye jamii maana wanajilegeza
 
Wanaume walio wengi wanaingia gharama kuwafanyia wema wanawake kwa kuongozwa na huruma ya kuwaona wanawake ni innocent and honest creatures au kujitengenezea mazingira ya kupewa mbususu.

Sikilizeni vijana, wanawake wa sasa almost wote ni mataperi, shida wanazoombea msaada wa kifedha ni uongo. Ukiombwa hela kwa ajiri ya luku, kwenda hospitali, n.k jua ni uongo na iyo text ya kuombwa hela hautumiwi peke yako, text iyo iyo moja mnatumiwa sio chini ya wanaume 20 na wanaume watakaofanya muhamala basi wanawake wanaona mafala na kuwadhiaki sana uko kwenye story zao saluni na magetoni kwao.

2024 ukimtongoza demu akichomoa move on, don't keep friendly zone she will use you as a leverage for her financial needs. Kijana mwenzangu, 2024 date na mwanamke mwenye kazi halali inayomuingizia kipato ila hawa wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha shida zake piga hit and run. 2024 say no to "relationship kausha damu"

Washkaji zako wa kiume wakikwama hata kwa mambo yasiyo na lazima kama mfuko upo vizuri walinde maana na wewe siku ukikwama watukulinda ila wanawake hapana maana wanawake hawana msaada wowote mwanaume ukifulia.

Najua kuna wadangaji, washamba wa mapenzi na waliolishwa limbwata watakuja kutapika hapa, wapuuzeni hao. Kijana mwenzangu 2024 binti wa mtu akikuletea pigo za kausha damu piga mimba ingia mitini.
Ushauri umezingatiwq
 
Mleta mada uko sahihi sana i feel what u say big tym, hayo maviumbe ni maj!n! mufilisi. Hela ninayo na sioni taabu kutoa ila sitoi na sitatoa hela kwa mwanamke ambae hana chembe ya huruma, utu na ubinadamu. I observe too well i know.

Sina tatzo na kuomba hela ila kuna vitu mwenyewe na vi expect toka kwake from my care and affection nayompa ila utakuta Yani ni maviumbe flan selfish sanaa yanjiangalia yenyewe tu yani ukutane nalo moja li zembe alaf halijitumi kufanya kazi let alone kuchangia hata mawazo chanya yakukusogeza hayana ila ni kuomba hela na kutaka kukutumia tu…..

Kuna mmoja nilikutana nae kwenye harusi tuka exchange number nikaimbisha siku ya 2 mtu ananiomba laki 2 out of thin air kwamba anataka ya saloon. WTF
Nikamuambia kwa hyo wewe mtu kuwa rafiki yako hadi akupe hela.

Mtu basi omba hata 50k utaeleweka mtu siku ya pili anataka laki 2. Hahaha kweli bongo tambalalez u know. Hahaha vijana madem wa kweli wapo na madem pisi kali njaa kali ni wa kumwaga pia.
Hahahahahaha
 
Binafsi Sina huo upumbavu uniite nyuki Sina madhala sawa,mwanaume unalegea sawa mwanaume bahili sawa yaani Hadi nije nikupe pesa labda niamue mwenyewe ila hakuna mwanamke wankunitapeli Bado hajazaliwa.
Wanaume ndo tulivo, tunaongea kauli za kishujaa na kujiona wajanja a.k.a alpha males, tukiwa hatujaona mwanake tulie-fall kwake, hujakamatika mkuu, kuna pisi ukikutana nayo utatamani umpe mshahara wako wote wa mwezi, na hajakuomba hela, akikuomba hela si utampa na figo ChoiceVariable
 
Kama kuna thamani anayoingeza katika mahusiano yenu uyo ni sawa kabisa. Kuna wanawake wengine ukiondoa sex hakuna anacho offer kwenye mahusiano, hawa ni wale wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha gharama za shida na tamaa zake za kufukuzana na fashion za nguo na matoleo mapya ya iphone.
Kwahiyo kwa muktadha huu, tunataka kukubaliana na 50 % kwa 50%, au mada yako haijalenga katika level ya ndoa?

Hebu nijibu hapa ili tujadili vizuri.
 
Wanaume ndo tulivo, tunaongea kauli za kishujaa na kujiona wajanja a.k.a alpha males, tukiwa hatujaona mwanake tulie-fall kwake, hujakamatika mkuu, kuna pisi ukikutana nayo utatamani umpe mshahara wako wote wa mwezi, na hajakuomba hela, akikuomba hela si utampa na figo ChoiceVariable
Hiyo ya kutamani kumpa mshahara wako wote hata kama hajakuomba ni ujinga na ushamba wa mapenzi.

Hoja yako ina mantiki kwamaana kwamba, mwanaume anakuwa mgumu mpaka pale anapopata mwanamke anaempenda, hatakuwa zoba kwa kiasi cha kuwa tayari kutoa pesa zake zote, ila hatakuwa tayari kuona mwanamke huyo akiteseka ilhali anao uwezo wa kumsaidia.
 
Hujakutana na namba E, binti mtoto wa sekondari, ila tako kubwa, chuchu saa sita, kiuno nyigu, rangi ya andazi, utakuja hapa jf kufuta kauli yako Mpaji Mungu
Vigezo sijakupinga tena wanaweza kua Pini za maana kuliko hawa mashangazi wa 1995-1999, nachokupinga ni ww kushindwa kumpiga miti kisa kaomba Hela...... Hao unacheza na akili yake mwisho wa siku unakula tani yako kitu non stop supply of papucheree
 
Daah wadada wa miaka ya 1995 ni mashangazi,😂, mimi nimezaliwa 1994 mabinti watakua wananiita limjomba, au lidingi, siku zinaenda kweli

Kazi kweli kweli/ Job True True

Mpaji Mungu
 
Kwahiyo kwa muktadha huu, tunataka kukubaliana na 50 % kwa 50%, au mada yako haijalenga katika level ya ndoa?

Hebu nijibu hapa ili tujadili vizuri.
Sijawahi kuikubali 50/50 na ndio iliyotufikisha hapa. Ongezeko la talaka na single mothers, mmong'onyoko wa maadili, n.k ni consequencies za 50/50. Wanawake wamekalilishwa usawa lakini hawajaambiwa kwamba wanatakiwa kubeba wajibu unaotokana na huo usawa ndio maana hawaeleweki wanataka nini leo wanasema wanawake wanaweza kucompete na mwanaume kesho wanataka kuwezeshwa. Suluhisho la kurudi kwenye mstari ni kurudi kwenye mfumo dume.
 
Sheria kandamizi kwa mwanaume, nahisi waliotunga iyo Sheria ya jela miaka 30 ukimpa denti mimba, ni mishangazi, baada ya kuona soko lao la kimapenzi ni dogo, wanaonea wivu mabinti Natafuta Ajira
Sio iyo tu linapokuja suala la kutolea hukumu migogoro ya kimahusiano kati ya mwanamke na mwanaume zipo sheria nyingi sana kandamizi kwa mwanaume. Wanaume walioshiriki kutunga na kupitisha sheria zinazohusu masuala ya ndoa na mahusiano walikua mafala sana
 
Wanaume walio wengi wanaingia gharama kuwafanyia wema wanawake kwa kuongozwa na huruma ya kuwaona wanawake ni innocent and honest creatures au kujitengenezea mazingira ya kupewa mbususu.

Sikilizeni vijana, wanawake wa sasa almost wote ni mataperi, shida wanazoombea msaada wa kifedha ni uongo. Ukiombwa hela kwa ajiri ya luku, kwenda hospitali, n.k jua ni uongo na iyo text ya kuombwa hela hautumiwi peke yako, text iyo iyo moja mnatumiwa sio chini ya wanaume 20 na wanaume watakaofanya muhamala basi wanawake wanaona mafala na kuwadhiaki sana uko kwenye story zao saluni na magetoni kwao.

2024 ukimtongoza demu akichomoa move on, don't keep friendly zone she will use you as a leverage for her financial needs. Kijana mwenzangu, 2024 date na mwanamke mwenye kazi halali inayomuingizia kipato ila hawa wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha shida zake piga hit and run. 2024 say no to "relationship kausha damu"

Washkaji zako wa kiume wakikwama hata kwa mambo yasiyo na lazima kama mfuko upo vizuri walinde maana na wewe siku ukikwama watukulinda ila wanawake hapana maana wanawake hawana msaada wowote mwanaume ukifulia.

Najua kuna wadangaji, washamba wa mapenzi na waliolishwa limbwata watakuja kutapika hapa, wapuuzeni hao. Kijana mwenzangu 2024 binti wa mtu akikuletea pigo za kausha damu piga mimba ingia mitini.
Hapa nimekuelewa hata kama unaenda kutoa mahari ukikutana na kiwanja kinauzwa, hiyo hela ya mahari kanunue kiwanja.
 
Sijawahi kuikubali 50/50 na ndio iliyotufikisha hapa. Ongezeko la talaka na single mothers, mmong'onyoko wa maadili, n.k ni consequencies za 50/50. Wanawake wamekalilishwa usawa lakini hawajaambiwa kwamba wanatakiwa kubeba wajibu unaotokana na huo usawa ndio maana hawaeleweki wanataka nini leo wanasema wanawake wanaweza kucompete na mwanaume kesho wanataka kuwezeshwa. Suluhisho la kurudi kwenye mstari ni kurudi kwenye mfumo dume.
Wanawake wanataka haki sawa ila majukumu sawa hawayataki.
Nilipe kodi, nimlishe, nimvalishe, nimpe hela ya matibabu, nimtolee mahari, niwahudumie watoto n.k halafu aje na yeye kutoa kibesi ndani ya nyumba tena kwa vitu nilivyotafuta mwenyewe HAPANA.
 
Back
Top Bottom