Dada yangu umeongea vema, ila ngoja nikupe mtizamo wangu na wanaume wengi.
Hao wadada wanaokataa kuja gheto, wengi hawaji kwasababu wanakuwa hawajavutiwa kimapenzi na mimi, na sio kwasababu wananiona mimi ni pussy hunter wa kuwachezea na kuwaacha. Hao wadada wengi unaosema ambao hawaji gheto kisa tumewaalika mapema, utakuta wanaenda gheto kwa wanaume wengine, just few days after meeting those men
Kuhusu kuhudumia hadi walegee, hivi nyie wadada mnajijua kweli, mara nyingi unaweza wekeza hivyo vyoteee, pesa, muda, hisia kwa mdada, hata kwa miaka 5,!! imagine!!! na usiambulie hata busu, wanaume wenzangu wasioweka effort nilioweka kwake, wanateleza nae tu kirahisi, na wana-treatiwa vizuri kuliko Mimi nliewekeza kwake, so ni swala la PATA potea
Mimi binafsi, Ninavyomwalika demu gheto ni mawili, its either mm ni pussy hunter kweli, nataka nipige nisepe, au napima interest yake kwangu,
Depal