Mwanamke lazima afundishwe kuwajibika hatuwezi kutengeneza kizazi cha kausha damu na omba omba kisa hamtulazimishi kuwapa hela. Wewe unaona sawa mwanamke hataki kufanya kazi anaishi mjini kwa kudanga na kuombaomba hela? Tukisema kila kitu kiruhusiwe kwa sababu tu watu wanafanya kwa hiyari yao tutakua na dunia ya ajabu sana. Turuhusu madawa ya kulevya sababu wananunuaji wananunua kwa hiyari yao? Turuhusu mashoga kwa sababu wanazibuliwa mtaro kwa hiyari yao?.
Hata ukiwa tajiri hautapampa mwanao kila anachotaka hata kama uwezi unao kuna mengine utamnyima ajue dunia haikupi kila kitu bure bure tu
Tatizo tunaowakumbusha kuwajibika mnatuona kama vile tunawaonea wivu kumbe sisi ndio tuna nia njema na nyie pamoja na generation yenu hao wanaosapoti muendekezwe kupewa hela ndio wanawalemaza akili na kualibu generation nzima maana ukialibu akili ya mwanamke umealibu akili ya jamii nzima maana mwanamke ndie mlezi anaei-programme akili ya mtoto tangu akiwa mdogo kabisa