Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kwa watu washamba na ushamba ndo inaua unduguMikopo inaua undugu,urafiki,ujamaa
Siwezi ua undugu au urafiki eti kwa ajili ya mkopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa watu washamba na ushamba ndo inaua unduguMikopo inaua undugu,urafiki,ujamaa
Ww huwz nishaur lolot lle kwnz bd unahesabTEMA mate chini wewe unauhakika gani hautaumwa na kumwacha yeye
Tena usijeshangaa wewe ndo ukapata huo ugonjwa wa kufa na yeye ndo akausaidia
mtoto wa 2000 bora ungekaa kmy huna ujualoKwa watu washamba na ushamba ndo inaua undugu
Siwezi ua undugu au urafiki eti kwa ajili ya mkopo
hujaanza na hujui kuitafut hela na huijui vzr kawaid sna kusema ivo ukiw bdo unakula kwa mamaKwa watu washamba na ushamba ndo inaua undugu
Siwezi ua undugu au urafiki eti kwa ajili ya mkopo
Kuna ukweli hapa.kuna mshkaji wangu nilimkopesha laki tano, hatukuwa na makubaliano itarudije maana ni mwanangu sana, Baada ya miezi mitatu nikadai ile hela ebanae ile hela haikurudi mwaka wa kwanza, wa pili. wa tatu, wa nne hola mimi nikapotezea tu wala sikuwa namdaidai na sikutaka kumkaushia.
niliuja tu kuna siku atakuja tu kunisaidia na yeye hata kama sio msaada wa kifedha, kweli bana mwaka jana niko na project ya ujenzi nimedizaini nikmpa jamaa achore floorplan akanichorea vile nataka, nimefanya project yote kilakitu namuuliza ananipa maelezo ya kitaalamu ( jamaa alisoma civil kipindi namkopesa alikua bado anajitafuta) mjengo ukatoka unyama kufikia hapo kama ni malipo ile hela niliomkopaga ishaisha.
Badae kwenye finishing hela zikaisha jamaa akanilipa ile laki 5 (sikumdai) halafu ikapita wiki akanipa laki3 bure aisee saivi hapa duniani hayupo mtu naemjua wa kunipa laki3 bure tofauti na huyo mwamba.
nikajifunza kama unamdai mtu na hakulipi kwa wakati potezea tu usiongee sana maana midomo inaponza na hela hulipwi.
Watu wamekuwa si waungwana. sasa, hata maneno mazuri kwa toka kwa unayemdai yanaweza kukufanya umsamehe. Hii ya kutokupokea simu na unadaiwa ni usheitwaninilishaga msamehe ila cha ajabu hata nikimkuta anafurukuta anaumwa anahitaji msaada wa shilingi mia tu anatibiwa na kupona kabxa nami niwe nayo sitampa nitamwacha afe
Hata mama mwenyewe anamikasa yake kwa mshua.toka mwaka jana mwez wa kwnza mahakama ya kichw changu ilipojithibitishia baada ya uchunguzi kuwa ile laki 2 niliyompa rafiki angu wa karbu na undugu akanichukulie bidhaa kwaajili ya biashara kuwa nmedhulumiw nikaapa kwny hela yngu sitamwani yyte had mama
Kukopesha ndugu ni hatari sana.Mikopo inaua undugu,urafiki,ujamaa
Wewe ndo hujui hela unavunja urafiki au undugu kwa sababu ya laki kadhaahujaanza na hujui kuitafut hela na huijui vzr kawaid sna kusema ivo ukiw bdo unakula kwa mama
Wewe ndo mtoto ni kawaida sana kwa watu wenye hela kukopeshana milion 5 au 10 mtu hakulipi na hauvunji urafikimtoto wa 2000 bora ungekaa kmy huna ujualo
Yan jibu la huu uzi ndo hili nililokuw nalifikilia. UZI UFUTWE !!!!!!!!!!!!!!!Kukopesha mtu pesa ni laana, mi nimekopesha watu 2 jumla laki tano, nimeishiwa kurudishiwa laki 2 yani laki laki.
HakikaMikopo inaua undugu,urafiki,ujamaa