2024 Watanzania tutaandamana kulazimisha Dkt. Magufuli aongezewe muda zaidi. Umeme wa Stieglers utakapowaka, hospitali, SGR zitaleta shangwe sana

Kama ni "ndoto" Basi elewa kuwa hakuna mwenye uhakika wa kufika 2024.

Hiyo "ndoto" yako kama umeota unayaona "maandamano" basi wewe haupo kwenye hayo maandamano, kwani si mshiriki, ingekuwa mshiriki ungeota unashiriki hayo maandamano lakini wewe umeota "unayaona tu".

Au wewe ndiye "Nabii" Tito?
 
Mh. Mbowe lazima aje na hoja zenye mashiko ili 2020 tumuelewe. Lazima ajipange asiongelee vitu kama Barabara, maji, umeme na Hospitali yeye ajipange aje na hoja tofauti.
 
katiba iheshimiwe hata kama rais ni malaika.

Hizi ndo akili za Mafisi wa Lumumba...!
Hilo halitawezekana asilan! Magufuli ni Nani hata aongezewe miaka?
Jitu linaua,kuumiza na kutesa Watz wenzetu kwa kisingizio Cha maendeleo....huku likihadaa watu kuwa ati maendeleo HAYANA CHAMA.....non-sense!
 
naona mnataka kuungana na huyu mzee wenu kuendelea kuvunja katiba
 
Huo mda mpk ufike maiti yako itakuwa ishaozea kaburini na kubaki ma skeletons matupu. Rip in advance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja ila nchi yetu sote Kuna Umuhimu pia wa kusikiliza pia mawazo ya wengine km mawazo yko unavyo taka tupate Rais wa maisha kikubwa tuvumilie hoja na maoni ya wengine pia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
penye "Tanzania" weka "Sukuma"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…