Salute kwenu JF bosses!
Kutokana na usaliti wao kwa wananchi na kuwakumbatia watawala waliofanya mauaji ya kikatili October 29 ya mwaka 2025, ni dhahiri shairi sasa HAKUTAKUWA na MSANII atakayeandaa show ndani ya nchi au nchi jirani na Tanzania, au nchi nyingine yoyote duniani yenye wananchi wanaojitambua. Ndugu diamond platnumz kaamua kupeleka show huko SIERA LEON๐๐๐
Watakula walipo peleka mboga. ***** zaoNaunga mkono HOJA waende kula walipopeleka MBOGA MBOGA.
Wakitangaza Shows zao Maria Sarungi ,Mange na Sativa waakikishe wanapush wazalendo wasihudhurie.
Wanayo brass band.Watatumbuiza hafla za kijeshi.
Hii miaka mitano watajutia usaliti wao
Watakuwa wanapiga shows za Mbogamboga tu.Wivu na chuki za bure!
Wivu kwa kipi? Chuki kwa sababu ya usaliti wao kwa wananchiWivu na chuki za bure!
,,๐๐๐๐๐Kizimkazi na Zenj kwa ujumla kuna matamasha kibao mf. Kukoga mwaka, kuonja urojo n.k. Watakwenda kutumbuiza huko!
Na kwenye birthday za Lukasi Mshamba hawatakosekana ๐ฎ
wananchi na wazalendo tunawakubali sana na show zitapigwa tuWivu kwa kipi? Chuki kwa sababu ya usaliti wao kwa wananchi
Waliokupandisha ndio wanaokushusha muda mwingine, heshimu wote.Wivu na chuki za bure!
Hiyo ni kazi ya Mungu, acha wivu, wewe umempandisha msanii gani?Waliokupandisha ndio wanaokushusha muda mwingine, heshimu wote.
Sio kutohudhuria tu wakipanda stejini wapopolewe kwa mawe kama alivyofanyiwa msanii mmoja kule Mbeya.Naunga mkono HOJA waende kula walipopeleka MBOGA MBOGA.
Wakitangaza Shows zao Maria Sarungi ,Mange na Sativa waakikishe wanapush wazalendo wasihudhurie.