2025-2030 hakutakuwa na tamasha la msanii ndani ya nchi

2025-2030 hakutakuwa na tamasha la msanii ndani ya nchi

Salute kwenu JF bosses!

Kutokana na usaliti wao kwa wananchi na kuwakumbatia watawala waliofanya mauaji ya kikatili October 29 ya mwaka 2025, ni dhahiri shairi sasa HAKUTAKUWA na MSANII atakayeandaa show ndani ya nchi au nchi jirani na Tanzania, au nchi nyingine yoyote duniani yenye wananchi wanaojitambua. Ndugu diamond platnumz kaamua kupeleka show huko SIERA LEON😂😂😂
Mbali sana huko maana uchaguzi halali haujafanyika bado
 
Naunga mkono HOJA waende kula walipopeleka MBOGA MBOGA.

Wakitangaza Shows zao Maria Sarungi ,Mange na Sativa waakikishe wanapush wazalendo wasihudhurie.
Naunga mkono hoja "wananchi ndio maboss"
 
Hayo matamasha yanawasaidia nini
Zaidi ya mkienda mkatoa pesa mnarudishiwa dharau

Ova
 
Back
Top Bottom