2025-2030 hakutakuwa na tamasha la msanii ndani ya nchi

Mnafirimbwa kweli nyie, watu wanataka burudani kama kawaida na watahudhuria vizuri tu.
 
Mwezi wa 12 sikukuu huhuuu tunawasubiri kwa hamu
 
Mnafirimbwa kweli nyie, watu wanataka burudani kama kawaida na watahudhuria vizuri tu.
Ni kweli tunataka burudani wewe njoo huku kwetu Tarime tutakupokea kwa makofi na vigeregere
 
Huku Tunduma tunapenda sana nyimbo za Diamond, aje apige show basi.
 
Safi!

Au kama waje na kikosi kizima cha KMKM kuwalinda.

Kila mtu lazima asikie maumivu haya ili tujenge taifa letu kwa pamoja.

Ndipo tutajenga utamaduni wa kukemea kwa pamoja na kushangilia kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…