2025 atatoboa kweli!?

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Chawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia.

Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali zaidi kwa wao kuonyesha kujutia kuongozwa naye.

Atatoboa kweli ki siasa 2025?

Binafsi naliona giza ki siasa kwake
 
Ataishia 2025.
 
Kwa MAITI sisi watanzania anaweza kutoboa. Lakini ukienda kwenye mitandao, kila mmoja amemkinai. Sidhani kama watanganyika atapata wa kumpa kura. wasiwasi wangu ni mapolisi kuiba kura, lakini kwa halali HATOBOI KABISA
 
Wewe unaonaje?
 
Mungu mwenyewe ndio anaejua anatufaa au hatufai hakuna mtu atayeweza kumbadilisha kiongozi wa juu ndio maana tunaambiwa tuitii mamlaka ila kwenye utawala kukiwa dhuluma iliyozidi vilio vya wengi ni Moja ya mambo ambayo Mungu huwa anasikia haraka sana anafanya maamuzi Mh rais usifanye michezo na vilio vya wamasai watu zaidi za laki moja wanakulilia wewe lakini tunakundi kubwa la gen z vijana Hawa Wana mengi mioyo yao
 
Uongo
 
Mungu yupi huyo!?
 
Nitafurahije asipotoboa? Naamini mauzauza haya yote kutoka Znz yatakoma, waTanganyika tutajitawala upya, tutapata Ngorongoro mpya ya waTanganyika wenye heshima zao, tutaongoza bandari zetu wenyewe na kufanya maamuzi yatakayo rudisha heshima yetu kama waTanganyika...nk
 
Kasome hilo andiko vizuri "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa "haina mana hiyo kama wengi wanavyolitafsiri Mungu amezungumza juu ya watu wapendao uzinzi na uasherati
 
Giza ni nene kwake mbeleni kama hata achia kwa hiari. Nchi hii inahitaji Kiongozi wa Kiume kutoka upande wa bara na mwenye hofu ya Mungu na anayekerwa na ubathirifu wa mali ya umma.
 
Mamlaka ya kiti cha uraisi yanapaswa yawe na Uungu ndani yake, katika Uungu hakuna kingine kilichojaa zaidi ya UPENDO (Agape).

Jinsi UPENDO wa Rais Samia unavyopoa ndivyo jinsi mamlaka aliyopewa na aliyonayo yanapoa pia.

Wamasai hawajazaliwa Ngorongoro kwa bahati mbaya na waarabu wa Dubai, Oman hawajazaliwa uarabuni kwa bahati mbaya.

Rais Samia anapaswa kutafakari yeye binafsi na kujifanyia tathmini akiona vipi asisubiri kama mbwai iwe mbwai bora astaafu zake kwa heshima 2025 arudi zake Kizimkazi tutaendelea kumpenda na kumuheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…