Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe ni mtaalam wa vifungu! Kwamba Mungu amezngmzia "uzinzi na uasherati" tu ktk mlango mzma! ati "...kama wengi wanavyolitafsiri.." ikiwa wachache mna tafsiri tofauti! Nlitegmea ungejibu kw nini wengi wakikumbana na changamoto au wakisababishiwa changamoto mblmbl wansema "muombe Mungu" badala ya kutumia bongo zao kutatua! Hata sasa hujachlewa, changia hoja- si kusahihisha vifungu, usije ukaanzisha mjadala mwngn tofautiKasome hilo andiko vizuri "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa "haina mana hiyo kama wengi wanavyolitafsiri Mungu amezungumza juu ya watu wapendao uzinzi na uasherati
Kwani Nape Nnauye anasemaje?Chawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia.
Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali zaidi kwa wao kuonyesha kujutia kuongozwa naye.
Atatoboa kweli ki siasa 2025?
Binafsi naliona giza ki siasa kwake
Awal kulli ,
Nasema hivi...
Mbona mh.Rais SSH hana kazi ngumu hiyo 2025 in shaa Allah....
Katoka pagumu mno....mnoo...
Kuna ugumu kama "regime change" baada ya "sitting president" kutawafu ?!!!
Kwa nguvu za Mwenyezi Mungu na mizimu ya mababu wa taifa takatifu la Tanzania ,mh.Rais Samia alivivuka viunzi na leo ni raia nambari 1 wa JMT....
Lipi gumu tena ?!!
Lipi ?!!
2025?!! [emoji44][emoji44][emoji1787]
Geeez
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mungu yupi?Mungu mwenyewe ndio anaejua anatufaa au hatufai hakuna mtu atayeweza kumbadilisha kiongozi wa juu ndio maana tunaambiwa tuitii mamlaka ila kwenye utawala kukiwa dhuluma iliyozidi vilio vya wengi ni Moja ya mambo ambayo Mungu huwa anasikia haraka sana anafanya maamuzi Mh rais usifanye michezo na vilio vya wamasai watu zaidi za laki moja wanakulilia wewe lakini tunakundi kubwa la gen z vijana Hawa Wana mengi mioyo yao
Tulisha sema na nasema tena CCM Mungu alishaifuta kimamlaka ya kiutawala yanayo tokea si kwa bahati mbaya bali nikatika njia ile ile Bwana ameeleza na ilishakuaChawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia.
Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali zaidi kwa wao kuonyesha kujutia kuongozwa naye.
Atatoboa kweli ki siasa 2025?
Binafsi naliona giza ki siasa kwake
Na yeye hajui kama wamemtega, hivi sasa wanatengeneza matukio kwa wingi ili walambe pesa kwa wingi watumwe huku na kule wapate poshoChawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia.
Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali zaidi kwa wao kuonyesha kujutia kuongozwa naye.
Atatoboa kweli ki siasa 2025?
Binafsi naliona giza ki siasa kwake