Fantastic Beast
Member
- Feb 18, 2019
- 53
- 539
Ni wazi umaarufu wake kwa sasa umeporomoka kwa kiwango kikubwa sana. Laiti uchaguzi ungekuwa ni leo kisha akasimamishwa yeye na mzee wa ubwawa ni dhahiri shahiri mzee wa ubwabwa angeondoka na ushindi.
Kauli zake pia zimechangia kwa kiasi kikubwa kuzidi kuporomosha umaarufu wake. Kujimwambafai ki-gender kumemfanya hata ndani ya chama chake top layer wagune, hata wale walompambania kuwepo hapo wameanza kuona kama anapwaya kwa kauli zake tata za siku za hivi karibuni.
Swali la kujiuliza ni kwamba kosa walilofanya 2015 watakubali lijirudie 2025? Muda utaongea.