2025 hamna mwanaume wa kupambana na mama kule CHADEMA, kwenye machaguo tunawabakiza Mdee na Bulaya

2025 hamna mwanaume wa kupambana na mama kule CHADEMA, kwenye machaguo tunawabakiza Mdee na Bulaya

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,721
Reaction score
21,959
Kuisha kwa uchaguzi mmoja ni maandalizi ya uchaguzi mwingine.

Naam bila shaka upande wa chama kikongwe barani Afrika ni nani atapeperusha bendera ya urais imetatuliwa, ni mama lao Samia Suluhu. Swali linabaki ni nani huko upinzani atapeperusha bendera yao?

Zitto hana haraka na urais huku bara, target yake ni kuongeza wabunge Zanzibar.

Tukirudi Chadema maswali ni mengi maana Lowassa hana tena hamu na Chadema na hatakki kuwasikia kabisa, Slaa anajenga taifa Sweden. Lissu haeleweki kabisa.

Lissu hawezi kugombea maana uchaguzi ujao kisingizio cha kuibiwa kura kitakuwa hakipo kabisa Tanzania hata watu watamshangaa, .

Katika muktadha huo Chadema watabakiza wakinamama pekee ambao wataumana na mama mwenzao. Watu pekee wenye uwezo huo ni wale walio bungeni sio kina Karume na Sarungi walioko twitter. Ulingoni watabaki mmojawapo kati ya Mdee na Bulaya hata kama Mbowe atake asitake.

Tuombe uhai tu kushuhudia mtanange huo 2025
 
Back
Top Bottom