Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Mie mpenzi wangu mlenda vuguvugu so haubadiliki
Kaacha kunisusia mbususu ananipimia π
Mlenda vuguvugu ndiyo ukoje huo?Mie mpenzi wangu mlenda vuguvugu so haubadiliki
Nyie mko single au ndo mmekutana na wapenzi wenu wiki hii?Cc wapenzi watazamaji hatuna Cha kuhadithia mkuu π
Pole sana, uko naye muda gani? inawezekana kashakuchoka coz huna jipya ππKaacha kunisusia mbususu ananipimia π
Things are quite different from the pastMpenzi wako au mume wako au mke wako, tabia yake iko vile vile kama ulivyomkuta na kumpenda au kabadilika?
Vipi bebi wako mbususu na rungu anakupa kwa spidi ile ile kama mlivyoanza au siku hizi unapimiwa?
Mwisho kabisa, Je bebi wako muonekano wa kimaumbile yuko vile vile kama mlivyokutana au kuna maeneo yamebadilika? Kama kuna mabadiliko, unatafurahia au yanakukera?
Mimi wangu tulikutana wote tuko vipotable ile sasa mimi ni mshangazi, tumbo na tako vimetaradadi na yeye kitambi kinatangulia hatua kadhaa kabla mwili haujafika.
Huko kwako hali ikoje?
Embu ngoja nikamchungulie πππMpenzi wako au mume wako au mke wako, tabia yake iko vile vile kama ulivyomkuta na kumpenda au kabadilika?
Vipi bebi wako mbususu na rungu anakupa kwa spidi ile ile kama mlivyoanza au siku hizi unapimiwa?
Mwisho kabisa, Je bebi wako muonekano wa kimaumbile yuko vile vile kama mlivyokutana au kuna maeneo yamebadilika? Kama kuna mabadiliko, unatafurahia au yanakukera?
Mimi wangu tulikutana wote tuko vipotable ile sasa mimi ni mshangazi, tumbo na tako vimetaradadi na yeye kitambi kinatangulia hatua kadhaa kabla mwili haujafika.
Huko kwako hali ikoje?
Tuambie hata kidogo, what has changed?Things are quite different from the past
Wewe huna cha kusema?Watakuja kusema tunawasubiria