Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Mpenzi wako au mume wako au mke wako, tabia yake iko vile vile kama ulivyomkuta na kumpenda au kabadilika?
Vipi bebi wako mbususu na rungu anakupa kwa spidi ile ile kama mlivyoanza au siku hizi unapimiwa?
Mwisho kabisa, Je bebi wako muonekano wa kimaumbile yuko vile vile kama mlivyokutana au kuna maeneo yamebadilika? Kama kuna mabadiliko, unatafurahia au yanakukera?
Mimi wangu tulikutana wote tuko vipotable ile sasa mimi ni mshangazi, tumbo na tako vimetaradadi na yeye kitambi kinatangulia hatua kadhaa kabla mwili haujafika.
Huko kwako hali ikoje?