Pre GE2025 2025 Je, Watanzania wanahitaji Rais wa aina gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2025 RAIS Mwanaume Mkristu Mkatoliki.

Kanda ya ziwa wasukuma wapange foleni Toka asubuhi kwenda kupiga kura eti wampigie Mwanamke 🤣🤣🤣🤣

Mama fungasha virago, kurudi Kizimkazi,umebakiza miezi 10.

2025 Rais Mwanaume Mkristu Mkatoliki 😀😀😀🇹🇿🇹🇿🙏
Gentleman,
masula ya ubaguzi, udini, ukabila na ukanda muyafanye huko huko kwenye chama chenu cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
 
Binafsi naona ikitokea Wakili Msomi Boniphace Mwabukusi ( A star Rising from Busokelo), akapata platform ya chama chochote cha siasa kwa nafasi ya Urais, atashinda asubuhi na mapema. The guy is so partriotic, so smart and charismatic leader.
 
Najua kinachokusumbua sana kichwani mwako ni ubaguzi na chuki binafsi kwa Rais Samia na ndio Maana hata maandiko yako umekuwa ukijichanganya sana tabia kuingia kwa awamu hii madarakani.ndio maana hata watu hawakufuatilii maandiko yako.

.Lakini jibu ni moja tu kuwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania kauli yao na maamuzi yao ni kuwa tunakwenda na Rais Samia mpaka 2030. Ndani ya CCM Fomu ya Urais ni moja tu kwa ajili ya Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.kama hutaki basi Unda chama chako au chukua mgombea wako umsapoti kwa chama kingine uone mtakavyoangukia pua. Rais Samia atapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
 
Wewe na Rais Samia unasukumwa na UCHAWA Binafsi🤔🤔

2025-2030 unakwenda na mama Samia ,hata mimi NAKWENDA NA MAMA SAMIA, laikini itakuwa kumsindikiza KIZIMKAZI 🤣🤣🤔🤣🤔

2025 Rais ni Mwanaume Mkristu Mkatoliki.

Toka chama gani sio issue, issue ni Mwanaume Mkristu Mkatoliki 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Binafsi naona ikitokea Wakili Msomi Boniphace Mwabukusi ( A star Rising from Busokelo), akapata platform ya chama chochote cha siasa kwa nafasi ya Urais, atashinda asubuhi na mapema. The guy is so partriotic, so smart and charismatic leader.
Uko sawa kabisa mi huwa natamani usalama na majeshi wampe support huyu mwamba na kama upinzani wakazongua wamtafutie nafasi hukohuko Ccm. Ukweli jamaa ana uzalendo sana na nchi na hasa Tanganyika na amejipambanua katika hili .
 
Sizungumzii ubaguzi wa dini, nazungumza wasifu biography ya Rais ajaye, na mtizamo wa kanda ya ziwa hasa kwa wasukuma kuhusu gender!!!
sasa unapotaja dini, kabila, jinsia na kanda au sehemu anakotoka mgombea uongozi, unamaanisha nini zaidi ya kupromote ubaguzi?

kwamba hayo ndiyo mambo ya maana zaidi wapiga kura wazingatie wanaenda kuchagua viongozi, right?

bado nasisitiza mambo haya yafanywe huko huko ndani ya vyama vyenu visivyo na agenda na vilivyopoteza uelekeo 🐒
 
Natumaini nimeelewa , Narudia Rais 2025 ni Mwanaume Mkatoliki 🙏🙏
 
Kumekuwa na nadharia nyingi sana kuelekea 2025 ndani ya chama 5 tena, kitaifa katiba ibadilishwe kuwe na tume huru ya uchaguzi tupate mtu kutoka nje ya mfumo wa CCM.

Nimekuwa nikizungumza na watu tofauti nakupata nini wanakiwaza kuanzia mam ntilie mpaka mtu wa juu kabisa kimaisha.

Niukweli usiopingika yakuwa wakati chama na chawa wengine tunatumia all resources we have pamoja ushawishi kwa jamii kusema miaka mitano tena watanzania ndani ya mioyo wana mawazo yao binafsi na sio haya tunayaweka kwenye vichwa vyao.

Mbaya zaidi kwa sababu wa Tz ndio wataalamu waunafiki dunia wote wamekuwa sehem ya nyimbo mitano tena ila moyoni wanamawazo tofauti.

Naomba wale wote tunapenda uongozi wa mwanamke au tungetamani kuona hilo likitokea kupitia uzi huu basi msinipige mawe au kukasirika ila chukueni kimtazamo chanya kwa kuboresha pale panaitaji uboreshaji na sio vinginenvyo.

Awali ya yote jambo nimeligunduwa kwa watu wengi na ningeomba usije niambia toa uthibitisho naimani kama kuna team ya siri undeni mchunguze sio kwa uchawa kwa kutaka ukweli mtakuja niambia.

Nikuweli mchungu kwa namna yeyote ile watanzania bado hawajawa na mtazamo chanya kuongozwa na jinsia nyingine ukiacha ile waliizoea tangu uhuru. Watanzania wengi bado wanatamani kuona Me akiwa kiongozi wakitaifa.

Watanzania pamoja na yote yamefanyika chini ya serikali ya sita ila bado hawana raha na wanafanya unafiki aka kupata mkate wao wakila siku ila moyoni wapo mbali sana na hawaja ielewa serikali ya sita sera zake. Una 3R ila bado wanaona yale waliyasahau hili tu ni doa.

Chama kitaweka mgombea Me na kikawa na ushawishi mzuri vs chama kitaweka ke na kikawa na ushawishi zaidi ya chama upinzania chama chenye me kinaweza fanya vizuri zaidi kuliko chama chenye mamlaka. Maana yake ni nini? Bado kama Taifa tuna safari ndefu kumuweka ke ktk nafasi kubwa ya kitaifa.

Chama kinaweza kutumia nguvu na ushawishi mpitisha ke ila dalili zinaonyesha 👋 tena itakuwa mizito sana mizito sana mgombea anaweza omba dunia isimame ashuke ila haitowezekana na kutokana na hiyo misukosuko inaweza leta shida kwa chama.

Hali ilivyo sasa sivyo itakavyo kuwa pindi jina litakuja ke kwa sasa watanzania wanauvumilivu wakiamini taifa lilikuwa kwa msiba na 2025 kutakuwa na badiliko ktk watu wengi nilio zungumza nao wanaonyesha kuwa na subira ila sio kwamba wanataka 👋 hata wandani hakunaga wanafiki.

Gharama za kampeni chini ya ke zitakuwa kubwa sana na bado hata kwa goli la mkono kazi itakuwa nzito..
Tutakapo toka kwa uchaguzi badala ya kuongoza From day one ndani ya chama tawala yatazuka makundi mazito kwa uchaguz wa 2030 nadhani haya yatamvuruga mwenyekiti yataleta wizi na kila aina ya shida kwa taifa na chama waweza jouliza why na ndio maana tunasema haya..

Wapo wazee na wakongwe ndani ya chama walisha yaona haya tangu siku JPM alipo lala na hata sasa yanatimia na kuzidi timia ndio maana mstaafu mmoja akasema ukitaka Nchi itulie zungumza na wazee nje ya box ushauri wa wazee tulipata msiba 👋 nihatari kwa chama kule kitaluni mgawanyiko utakuwa mkubwa sana hatutoweza tuliza kama tulivyo tuliza kipindi kile. Kwanini wa Tz wanafiki machoni kama watu moyoni hawana utu.

Siasa za dunia hazipo upande wa ke kungekuwa na nafuu kubwa kama USA ke angechukua nchi ila kwa sasa ni giza nene sana.

Haya ni mawazo ya watu pasipo weka majina na sio lazima kuyaamini unaweza soma nakuacha hapa kwa wakati mwafaka. Japo sio mbaya wazee wavishikio wakafanya check list kuthibitisha maelezo yangu.
Mfano wa Malawi unatosha. Rais alipofariki mrithi kikatiba akawa Ke ya kiti maalum. Aliposimama mwenyewe nchi ikampiga chini. Maana hata wanawake wenyewe wanajua kiongozi nafasi hiyo ya taifa ni vigumu Ke kuimudu na hasa hawa wa kupata umakamu kwa upendeleo vitu maalum.
 
hukuna wa kubababika na ubaguzi wako 🐒
Mwakani Rais ni Mwanaume, Mkristu, Mkatoliki ,note that!! Hatuwezi kuweka Tena rehani nchi yetu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 kwa WAARABU 🤔🤔🤔
 
Najua kinachokusumbua sana kichwani mwako ni ubaguzi na chuki binafsi kwa Rais Samia na ndio Maana hata maandiko yako umekuwa ukijichanganya sana tabia kuingia kwa awamu hii madarakani.ndio maana hata watu hawakufuatilii maandiko yako.

.Lakini jibu ni moja tu kuwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania kauli yao na maamuzi yao ni kuwa tunakwenda na Rais Samia mpaka 2030. Ndani ya CCM Fomu ya Urais ni moja tu kwa ajili ya Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.kama hutaki basi Unda chama chako au chukua mgombea wako umsapoti kwa chama kingine uone mtakavyoangukia pua. Rais Samia atapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
Hakuna asie mpenda Rais ila tuseme ukweli uchawa haujawahi kuacha watu salama. Je Magufuli asinge fariki alie kuwa anafuwata ni mwanamke kama jibu yes basi Tafakari. After all tunahitaji amani,ustawi wa taifa letu na umoja wakitaifa... mnaweza kujipima.
 
Mauaji ya viongozi was ccm nchini yanaonyesha mtia Nia yupo hatarini!

Watoa roho wanamuonyesha wazi kwamba na ya kwako tunaitaka coz na wewe ni kiongozi wa wa CCM!!

Na kama washauri wangekua na akili wangemwambia atangaze Hali ya hatari dhidi ya wasiojulikana ambao wameanza kuwaua viongozi wa CCM na sio kuwateka kama upinzani.wafanyavyo bali kuwaua na kuikuta miili yao Ina majeraha!

Hiyo ni picha mbaya!!?

Kwanini kagame kahama Bandari yetu!!?je Kuna tishio la usalama!!?

Nauliza tu mwenzenu!!
 
2025 waTanzania wameshaamua tayari, wanamuhitaj tu, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais, mchapakazi hodari, kipenzi na tumaini la waTanzania wote,

mwenye nia thabiti na dhamira njema na madhubuti ya kuwaletea wanainchi waTanzania maendeleo endelevu ya kijamii, kisiasa, kiuchumi kitaifa na kimatafa kwa hakika zaidi, kasi zaidi na kwa viwango tajika.🐒

Mungu Ibariki Tanzania 🌹
Mungu yupi unamaanisha
 
Huyu atulie tu kwanza
 
Hivi Mazezeta nao huwa wana chaguo?! Au wanawekewa tu chochote halafu wanaanza kufurahi na kukata viuno?!
 
Hahaha mi naomba, mwizi sana, na,asiyejali lolote, awe Mzanzibari.

Kila mkiomba vizuri mnapata kinyume chake, ombeni msiyoyataka, mtabahatisha kupata rais.
 
Kumekuwa na nadharia nyingi sana kuelekea 2025 ndani ya chama 5 tena, kitaifa katiba ibadilishwe kuwe na tume huru ya uchaguzi tupate mtu kutoka nje ya mfumo wa CCM.

Nimekuwa nikizungumza na watu tofauti nakupata nini wanakiwaza kuanzia mam ntilie mpaka mtu wa juu kabisa kimaisha.

Niukweli usiopingika yakuwa wakati chama na chawa wengine tunatumia all resources we have pamoja ushawishi kwa jamii kusema miaka mitano tena watanzania ndani ya mioyo wana mawazo yao binafsi na sio haya tunayaweka kwenye vichwa vyao.

Mbaya zaidi kwa sababu wa Tz ndio wataalamu waunafiki dunia wote wamekuwa sehem ya nyimbo mitano tena ila moyoni wanamawazo tofauti.

Naomba wale wote tunapenda uongozi wa mwanamke au tungetamani kuona hilo likitokea kupitia uzi huu basi msinipige mawe au kukasirika ila chukueni kimtazamo chanya kwa kuboresha pale panaitaji uboreshaji na sio vinginenvyo.

Awali ya yote jambo nimeligunduwa kwa watu wengi na ningeomba usije niambia toa uthibitisho naimani kama kuna team ya siri undeni mchunguze sio kwa uchawa kwa kutaka ukweli mtakuja niambia.

Nikuweli mchungu kwa namna yeyote ile watanzania bado hawajawa na mtazamo chanya kuongozwa na jinsia nyingine ukiacha ile waliizoea tangu uhuru. Watanzania wengi bado wanatamani kuona Me akiwa kiongozi wakitaifa.

Watanzania pamoja na yote yamefanyika chini ya serikali ya sita ila bado hawana raha na wanafanya unafiki aka kupata mkate wao wakila siku ila moyoni wapo mbali sana na hawaja ielewa serikali ya sita sera zake. Una 3R ila bado wanaona yale waliyasahau hili tu ni doa.

Chama kitaweka mgombea Me na kikawa na ushawishi mzuri vs chama kitaweka ke na kikawa na ushawishi zaidi ya chama upinzania chama chenye me kinaweza fanya vizuri zaidi kuliko chama chenye mamlaka. Maana yake ni nini? Bado kama Taifa tuna safari ndefu kumuweka ke ktk nafasi kubwa ya kitaifa.

Chama kinaweza kutumia nguvu na ushawishi mpitisha ke ila dalili zinaonyesha 👋 tena itakuwa mizito sana mizito sana mgombea anaweza omba dunia isimame ashuke ila haitowezekana na kutokana na hiyo misukosuko inaweza leta shida kwa chama.

Hali ilivyo sasa sivyo itakavyo kuwa pindi jina litakuja ke kwa sasa watanzania wanauvumilivu wakiamini taifa lilikuwa kwa msiba na 2025 kutakuwa na badiliko ktk watu wengi nilio zungumza nao wanaonyesha kuwa na subira ila sio kwamba wanataka 👋 hata wandani hakunaga wanafiki.

Gharama za kampeni chini ya ke zitakuwa kubwa sana na bado hata kwa goli la mkono kazi itakuwa nzito..
Tutakapo toka kwa uchaguzi badala ya kuongoza From day one ndani ya chama tawala yatazuka makundi mazito kwa uchaguz wa 2030 nadhani haya yatamvuruga mwenyekiti yataleta wizi na kila aina ya shida kwa taifa na chama waweza jouliza why na ndio maana tunasema haya..

Wapo wazee na wakongwe ndani ya chama walisha yaona haya tangu siku JPM alipo lala na hata sasa yanatimia na kuzidi timia ndio maana mstaafu mmoja akasema ukitaka Nchi itulie zungumza na wazee nje ya box ushauri wa wazee tulipata msiba 👋 nihatari kwa chama kule kitaluni mgawanyiko utakuwa mkubwa sana hatutoweza tuliza kama tulivyo tuliza kipindi kile. Kwanini wa Tz wanafiki machoni kama watu moyoni hawana utu.

Siasa za dunia hazipo upande wa ke kungekuwa na nafuu kubwa kama USA ke angechukua nchi ila kwa sasa ni giza nene sana.

Haya ni mawazo ya watu pasipo weka majina na sio lazima kuyaamini unaweza soma nakuacha hapa kwa wakati mwafaka. Japo sio mbaya wazee wavishikio wakafanya check list kuthibitisha maelezo yangu.
Rais wa JMT hupatikana kwenye sanduku la kura au wazee na TISS ndiyo huamua nani awe????
 
Back
Top Bottom