Pre GE2025 2025 Je, Watanzania wanahitaji Rais wa aina gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gentleman,
masula ya ubaguzi, udini, ukabila na ukanda muyafanye huko huko kwenye chama chenu cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi πŸ’
 
Binafsi naona ikitokea Wakili Msomi Boniphace Mwabukusi ( A star Rising from Busokelo), akapata platform ya chama chochote cha siasa kwa nafasi ya Urais, atashinda asubuhi na mapema. The guy is so partriotic, so smart and charismatic leader.
 
Najua kinachokusumbua sana kichwani mwako ni ubaguzi na chuki binafsi kwa Rais Samia na ndio Maana hata maandiko yako umekuwa ukijichanganya sana tabia kuingia kwa awamu hii madarakani.ndio maana hata watu hawakufuatilii maandiko yako.

.Lakini jibu ni moja tu kuwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania kauli yao na maamuzi yao ni kuwa tunakwenda na Rais Samia mpaka 2030. Ndani ya CCM Fomu ya Urais ni moja tu kwa ajili ya Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.kama hutaki basi Unda chama chako au chukua mgombea wako umsapoti kwa chama kingine uone mtakavyoangukia pua. Rais Samia atapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
 
Wewe na Rais Samia unasukumwa na UCHAWA BinafsiπŸ€”πŸ€”

2025-2030 unakwenda na mama Samia ,hata mimi NAKWENDA NA MAMA SAMIA, laikini itakuwa kumsindikiza KIZIMKAZI πŸ€£πŸ€£πŸ€”πŸ€£πŸ€”

2025 Rais ni Mwanaume Mkristu Mkatoliki.

Toka chama gani sio issue, issue ni Mwanaume Mkristu Mkatoliki πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Binafsi naona ikitokea Wakili Msomi Boniphace Mwabukusi ( A star Rising from Busokelo), akapata platform ya chama chochote cha siasa kwa nafasi ya Urais, atashinda asubuhi na mapema. The guy is so partriotic, so smart and charismatic leader.
Uko sawa kabisa mi huwa natamani usalama na majeshi wampe support huyu mwamba na kama upinzani wakazongua wamtafutie nafasi hukohuko Ccm. Ukweli jamaa ana uzalendo sana na nchi na hasa Tanganyika na amejipambanua katika hili .
 
Sizungumzii ubaguzi wa dini, nazungumza wasifu biography ya Rais ajaye, na mtizamo wa kanda ya ziwa hasa kwa wasukuma kuhusu gender!!!
sasa unapotaja dini, kabila, jinsia na kanda au sehemu anakotoka mgombea uongozi, unamaanisha nini zaidi ya kupromote ubaguzi?

kwamba hayo ndiyo mambo ya maana zaidi wapiga kura wazingatie wanaenda kuchagua viongozi, right?

bado nasisitiza mambo haya yafanywe huko huko ndani ya vyama vyenu visivyo na agenda na vilivyopoteza uelekeo πŸ’
 
Natumaini nimeelewa , Narudia Rais 2025 ni Mwanaume Mkatoliki πŸ™πŸ™
 
Mfano wa Malawi unatosha. Rais alipofariki mrithi kikatiba akawa Ke ya kiti maalum. Aliposimama mwenyewe nchi ikampiga chini. Maana hata wanawake wenyewe wanajua kiongozi nafasi hiyo ya taifa ni vigumu Ke kuimudu na hasa hawa wa kupata umakamu kwa upendeleo vitu maalum.
 
hukuna wa kubababika na ubaguzi wako πŸ’
Mwakani Rais ni Mwanaume, Mkristu, Mkatoliki ,note that!! Hatuwezi kuweka Tena rehani nchi yetuπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa WAARABU πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hakuna asie mpenda Rais ila tuseme ukweli uchawa haujawahi kuacha watu salama. Je Magufuli asinge fariki alie kuwa anafuwata ni mwanamke kama jibu yes basi Tafakari. After all tunahitaji amani,ustawi wa taifa letu na umoja wakitaifa... mnaweza kujipima.
 
Mauaji ya viongozi was ccm nchini yanaonyesha mtia Nia yupo hatarini!

Watoa roho wanamuonyesha wazi kwamba na ya kwako tunaitaka coz na wewe ni kiongozi wa wa CCM!!

Na kama washauri wangekua na akili wangemwambia atangaze Hali ya hatari dhidi ya wasiojulikana ambao wameanza kuwaua viongozi wa CCM na sio kuwateka kama upinzani.wafanyavyo bali kuwaua na kuikuta miili yao Ina majeraha!

Hiyo ni picha mbaya!!?

Kwanini kagame kahama Bandari yetu!!?je Kuna tishio la usalama!!?

Nauliza tu mwenzenu!!
 
Mungu yupi unamaanisha
 
Huyu atulie tu kwanza
 
Hivi Mazezeta nao huwa wana chaguo?! Au wanawekewa tu chochote halafu wanaanza kufurahi na kukata viuno?!
 
Hahaha mi naomba, mwizi sana, na,asiyejali lolote, awe Mzanzibari.

Kila mkiomba vizuri mnapata kinyume chake, ombeni msiyoyataka, mtabahatisha kupata rais.
 
Rais wa JMT hupatikana kwenye sanduku la kura au wazee na TISS ndiyo huamua nani awe????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…