Kuna kila sababu ya kuendelea na Rais SSH 2025, sababu ana mipango na miradi mingi ya kuikamilisha.
Tatizo ni kwa hili Bunge halimsaidii sana mama Samia bado wana mawazo ya CCM ya zamani kwamba kitu kikishaletwa na Rais au Waziri ni cha kupitisha tu wengine hawajisumbui hata kufuatilia mijadala wanasubiri kupitisha tu.
Lakini kwa Mama alivyo ni mtu muelewa na msikivu nadhani 2025 ni Muda muafaka wa kuwa na Bunge litakalo msaidia kuongoza Hasa lenye mchanganyiko kutoka vyama Pinzani kama CHADEMA, ACT, CUF .nk.