2025 ni Samia tena, ila kwa Bunge lenye wabunge hawa haitasaidia kitu

2025 ni Samia tena, ila kwa Bunge lenye wabunge hawa haitasaidia kitu

Yeah I do.... but she is doing good job, My opinion.
Tubadili mfumo, tupate KATIBA mpya.

Mamlaka makubwa ya Rais yanakwamisha mengi kwenda haraka sababu mengi ya muhimu yanategemea ruling yake.

Dereva mzuri ndani ya BASI bovu ni kujidanganya. Amen
 
Since Madam President becamed a president.
CCM hii ya sasa Si Ile aloanzisha Mwl NYERERE.

Nioneshe mtoto au mjukuu wa Nyerere aliye WAZIRI au MBUNGE.

Utaona sasa watoto wa wakubwa wanarithishana madaraka kizazi Hadi kizazi.

Viongozi wengi tu wanazaa VILAZA, na tunawajua, wasipeane urithi wetu kama zawadi.

CCM imebadilika Kutoka kuwa NJIWA mweupe Hadi kuwa BUNDI mweusi.

Tangu lini BUNDI akazaa NJIWA?

Hivyo kama Kweli tuna UPENDO na Nchi yetu, TUANDIKE Katiba mpya.

Vyama vyote viwe shaped kurudi kwenye mstari. Amen
 
We unataka mpaka upewe Hela ndio umchague ?
Nimemwambia huyo anayesema sijui barabara, hospitali nk kuwa ndio uhakika wa kupewa kura. Miundombinu ni wajibu wa serikali hata iliyoingia kwa kupindua nchi.
 
Nimemwambia huyo anayesema sijui barabara, hospitali nk kuwa ndio uhakika wa kupewa kura. Miundombinu ni wajibu wa serikali hata iliyoingia kwa kupindua nchi.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom