Amini hivyo2025 sidhani kama itakuwa huyu.
Mambo ya wabunge mtajuana wenyewe ila bado wabunge wenginwa ccm watapita kwa sababu mama kaupiga mwingi Sana kwenye majimbo yao,kuanzia barabara,huduma za afya,elimu,maji hadi kilimo..Kuna kila sababu ya kuendelea na Rais SSH 2025, sababu ana mipango na miradi mingi ya kuikamilisha
Tatizo ni kwa hili Bunge halimsaidii sana mama Samia bado wana mawazo ya CCM ya zamani kwamba kitu kikishaletwa na Rais au Waziri ni cha kupitisha tu wengine hawajisumbui hata kufuatilia mijadala wanasubiri kupitisha tu
Lakini kwa Mama alivyo ni mtu muelewa na msikivu nadhani 2025 ni Muda muafaka wa kuwa na Bunge litakalo msaidia kuongoza Hasa lenye mchanganyiko kutoka vyama Pinzani kama CHADEMA, ACT, CUF .nk .
Maendeleo ya vitu.Mambo ya wabunge mtajuana wenyewe ila bado wabunge wenginwa ccm watapita kwa sababu mama kaupiga mwingi Sana kwenye majimbo yao,kuanzia barabara,huduma za afya,elimu,maji hadi kilimo..
Maendeleo ya vitu? Uko serious? 👇Maendeleo ya vitu.
Nafasi aloipata Mh Rais Kwa kudra ni fursa kwake kuifikisha Nchi pazuri.Kuna kila sababu ya kuendelea na Rais SSH 2025, sababu ana mipango na miradi mingi ya kuikamilisha.
Tatizo ni kwa hili Bunge halimsaidii sana mama Samia bado wana mawazo ya CCM ya zamani kwamba kitu kikishaletwa na Rais au Waziri ni cha kupitisha tu wengine hawajisumbui hata kufuatilia mijadala wanasubiri kupitisha tu.
Lakini kwa Mama alivyo ni mtu muelewa na msikivu nadhani 2025 ni Muda muafaka wa kuwa na Bunge litakalo msaidia kuongoza Hasa lenye mchanganyiko kutoka vyama Pinzani kama CHADEMA, ACT, CUF .nk.
Umenena vyemaNafasi aloipata Mh Rais Kwa kudra ni fursa kwake kuifikisha Nchi pazuri.
Ashiriki kutuletea KATIBA mpya KAZI ambayo alianza na kuishia njiani akiwa Makamo mkt Bunge la Katiba.
Tukipata Katiba mpya ndo tufikiri kuhusu uchaguzi.
Kama Kweli una UPENDO na Nchi Yako, NI HATARI kuingia ktk Uchaguzi na Katiba hii. Tupambanie KATIBA mpya kwanza.Amen
Kwani kukiwa na barabara, huduma za maji, elimu nk ni lazima wananchi wakupe kura?Mambo ya wabunge mtajuana wenyewe ila bado wabunge wenginwa ccm watapita kwa sababu mama kaupiga mwingi Sana kwenye majimbo yao,kuanzia barabara,huduma za afya,elimu,maji hadi kilimo..
Since Madam President becamed a president.Hivi jamani CCM imebadilika lini mbona watu mnataka kujisahaulisha na kuzima data.
Ni lazima NdioKwani kukiwa na barabara, huduma za maji, elimu nk ni lazima wananchi wakupe kura?
Ni Kweli kabisa, unaweza fanya KAZI vizuri na usichaguliwe.Kwani kukiwa na barabara, huduma za maji, elimu nk ni lazima wananchi wakupe kura?
Wakati wa Jiwe mlikuwa mnasema hivyo.Maendeleo ya vitu? Uko serious? 👇
Tulikuwa tunasemaje?Wakati wa Jiwe mlikuwa mnasema hivyo.
Ccm ni ile ile...unaujua huo wimbo?Since Madam President becamed a president.
Ni lazima Ndio
Yeah I do.... but she is doing good job, My opinion.Ccm ni ile ile...unaujua huo wimbo?