Pre GE2025 2025 ni ushindi wa kishindo kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
CCM kwa sehemu kubwa mnajifariji Samia hata kama mtaforce agombee na kushinda kwa mbinu zote chama chemu kitapooza na 2030 kazi itakuwa ngumu sana kwenu!
Kwa maana chama kitachokwa na kwa kuwa Rais aliyepo hatakuwa na ushawishi kazi itakuwa ngumu sana maana vizazi vinabadilika!
Kwangu mimi sioni haja ya Samia kugombea apumzike tu kwa masrahi ya chama na nchi!
Samia ni kiongozi mpole asiyetaka lawama lakini ni Rais asiyemtendaji na mfatuliaji wa mambo kwa undani!
Samia akomee hapo atajenga heshima yake na akiweza awaachie wananchi katiba mpya kama legacy yake!
La sivyo nawahakikishia kama mtalazimisha mwisho wa Samia 2030 ndo utakuwa mwisho wa CCM!
Asanteh!
 
Mungu hayupo upande wake na atashughulika naye tu hivi karibuni. Ni bomu hilo wala hakuna kiongozi hapo. Kuachia ufisadi na deal ndio umsifie ?wapigaji watamsifu tu lakini ukiwa mtanzania halisi huwezi sema kuna kiongozi hapa. Wajinga kama wewe nenda zenj ukaone vile mnaibiwa huku. Wananchi wanateseka kwa ukali wa maisha,miradi mingi bara inasuasua wala Hana muda nanyi. Wewe pamoja na huyu unayempigia debe mtashindwa kwa utapeli wenu huu. Shetani wewe na matapeli yote
 
Kwahiyo na wewe unajiita mtabiri?
 
Anapendwa na chawa. Na Tanzania hakuna uchaguzi bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Sina hofu mama atashinda kwa kishindo anapendwa sana na wengi
 
Umemaliza kazi mzee
 
Ngoja tuone nyinyi chawa wa mama
Labda kwa kutumia dola. Huyu msaliti wa magufuli hakuna wanamtaka. Akacheze cinema na kina tony blair.
 
JPM angekuwa anamalizia muda wake.
 
Miaka yote wimbo wenu ni ule ule
 
Watz hawako tayari kutawaliwa na raia feki wala mzanzibar wala mpumbavu pole sana
 
Kwa Sukari kutuuzia watanganyika kilo moja kwa 4000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…