Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
😂😂😂 ngoja nizimue kwanzaKuanzia hii njanuari ni kahawa, majani ya chai na maziwa.
Au kuna mbaya wajameni? - Alisikika mtu mmoja.
kiongozi hii ukikutana na trafiki utatoboa kweli?😂😂😂 ngoja nizimue kwanzaView attachment 3189813
mkuu unaachaje gambe kirahisi ivyo?Mimi tarehe 26 dec zilinifanya vibaya,nazan ndo nimeachana nazo hvyo na marafik nao nataka nisiwe nao
Umeishiwa hela mkuu.Kuanzia hii njanuari ni kahawa, majani ya chai na maziwa.
Au kuna mbaya wajameni? - Alisikika mtu mmoja.
Mkuu unajidai sana.Kutamanishana huko.Karibu hapa Capital KIkuyu tuzigide za mwisho mwisho.. Happy New Year View attachment 3189833
acha kila mmoja akale alikopeleka mbogaKuna watu huwez elewana nao
Tusherekee mkuu..Mungu ni mwema kuuona mwaka..na mshangaa huyu mwamba anataka kusaliti chamaMkuu unajidai sana.Kutamanishana huko.
amuzi sahihi kabisa kikubwa msimamoMimi tarehe 26 dec zilinifanya vibaya,nazan ndo nimeachana nazo hvyo na marafik nao nataka nisiwe nao
Anakwama big time!Tusherekee mkuu..Mungu ni mwema kuuona mwaka..na mshangaa huyu mwamba anataka kusaliti chama
ni kosa hili kifungo miezi 6 au faini ya elfu 5 au vyote😅Mkuu unajidai sana.Kutamanishana huko.
Siyo wa kuhurumiwa huyo.ni kosa hili kifungo miezi 6 au faini ya elfu 5 au vyote😅
safi sana...pombe ni mahususi kwa walio na mtindio kimawazoKuanzia hii njanuari ni kahawa, majani ya chai na maziwa.
Au kuna mbaya wajameni? - Alisikika mtu mmoja.