2025 pombe basi - ni kahawa majani ya chai na maziwa

Tukutane tujadili hili suala kwanza.

20241117_165456.jpg
 
Binafsi, nilikuwa mpiga pombe hodari, Kila aina ya pombe, pombe niliyokulia ni ulanzi,šŸ˜ŽšŸ˜ŽšŸ˜Ž... Mzee alikuwa na "msitu" wa hii KITU kama ekari 8!
Nikaanza kuweka mkakati wa kuacha Moja baada ya nyingine... Mbinu niliyokuwa natumia, nagonga aina hiyo ya pombe ninayotaka kuiacha kwa Kilasi cha kupitiliza Hadi kufuru (Kwa kudhamiria, siyo bahati mbaya).
Baada ya hapo ilianza kunitesa kwa hang over, naichukia na kuiacha KABISA. Nikafanikiwa kuziacha zote isipokuwa Moja TU, "Dry white wine"!
Hii hata nikigonga nyingi, Haina cha hang over Wala nini... Ndiyo napambana nayo! Mwaka wa 5 sasa sichomoki!
 
daah hii mbinu yako kiboko
 
safi sana...pombe ni mahususi kwa walio na mtindio kimawazo

walevi ni kundi la wapumbavu
Sasa Dr. Usipo kua unakunywa ndio utukane wanao drink responsible
NB.
Mtu AMBAE hajawai kutumia kilevi chochote Basi hajawai KUISHI.
 
Back
Top Bottom