Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Acha hayo mambo dogoAisee nimegundua ukimix Imagi na smart gin inatoka kitu moja matata sana🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hayo mambo dogoAisee nimegundua ukimix Imagi na smart gin inatoka kitu moja matata sana🐼
Tuwashauri vipi bro?😂😂😂 mimi sio huyo mkuu🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
😂😂😂 ngoja nizimue kwanzaView attachment 3189813
shida ya pombe inaleta mazoea ya kijinga sana, yaani unaweza sema leo ngoja niende kachimbo flani nikagide tano tu then nirudi home kulala, yaani ukishagida hivyo vitano ni kama ndo umeutamanisha moyo, inakutaka uendelee zaidi na zaidi, yaani pombe ni kitu cha maajabu sana, mm kwa kwl mwaka huu ngoza nikaze nisiiguse kabisa, naamini nitatoboa tu, kwanza sitaki nichezee hela yangu kwa ujinga bora nifanye saving, pombe ina ufala sanaWacha tu Mkuu bora nirudi kwenye kitumbuwa tu ....mululu ni Majanga
Kuanzia hii njanuari ni kahawa, majani ya chai na maziwa.
Au kuna mbaya wajameni? - Alisikika mtu mmoja.
bugatti km bugatti 😂
😆😆😆ni mapepo tu yale mkuu hamna kituyaani ukishagida hivyo vitano ni kama ndo umeutamanisha moyo, inakutaka uendelee zaidi na zaidi
Babaa nipe mansheni nipande upstairs kama wengine 🤣🤣🤣🤣🤣bugatti km bugatti 😂
kiongozi karipoti haraka kituo cha polisi apo mtaani kwenuUnaacha pombe unahamia kwenye majani ya chai na kahawa, kiafya hapo bora ungeendelea na pombe tuu unajiweka kwenye risk ya kupata magonjwa ya moyo na kisukari
Mi naona pombe kwa sasa imechukua nafasi ya dawa za kulevya,kataa au ukubali ndo ivyo,tofauti ni muundo tu,,mi situmii kabisa hii haramu,lkn huwa naona kwa jamaa zangu fulani zinavyowapelekesha,mtu hadi anajinyea,anaiba kwa ajili ya pombe!!,anahaidi kuacha lkn wapi!!,anakujibu kuwa ata yye hajui kwanini aachi!!,na hizi kampani bhana,mwenzako yuko radhi akununulie kadri iwezekanavyo lkn awezi kukupa hela!!,,na viroba vilipopigwa marufuku enzi hizo,siku hizi jamaa wanaotengeneza wamebuni vichupa vidogo,hivyo ni balaa,kimoja tu mtu yuko chakari,sijui vina alcohol asilimia ngapi,wenye kujua mtaniambia,napendeleza serikali ipige marufuku pombe zote.Pombe inatabia yakukupa majuto ikiwa inakupelekesha, hasa ukutane na zile kali za Manzese au Buguruni, huwa zinatesa sana na kuleta majuto mengi.
Ujinga mwingine, pombe zinakupa hamu yakufanyana, sasa muda zinapokupa hiyo hamu huwa hujali, kukamata dude unapiga pipe asubuhi unaamka na hang'over mbili, moja ya K na nyingine ya pombe, lazima utoe nadhiri ya kuacha pombe, ila ikikata sasa baada ya siku mbili tatu mzuka unarudi tena.
Commitment ya kuacha pombe inahitaji ujasiri sana, na wale msiokunywa hii kitu msijaribu kabisa maana addiction yake ni mbaya sana.
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika fikra zako hizi za kuacha pombe.
Hansonchoice ingependeza sana mkuu😂😂😂 ngoja nizimue kwanzaView attachment 3189813
🤝🤝mtaniambia,napendeleza serikali ipige marufuku pombe zote.
Tangia uzi huu urushwe sijagusa kabisa Mkuu Nimedhamiria !!!Mkuu tujitahidi tupambane tungi siyo kabisa!