2025 tunafunga mwaka na orodha hii ya majeshi bora duniani, Iran ipo chini ya Israel baada ya kupoteza makamanda wake wakuu wengi

Israel mnayoipamba kumbe hata kwenye kumi Bora haipo.!!?
 
Namba 6 ni Tanzania umeiruka. List hii ni batili.
 
Iran mnayoikuza kupitiliza kumbe ilisafishwa karibia makamando wote wakubwa wa jeshi ?
Hakuna asiyejua kuwa Israel ilitumia mbinu za kigaidi za kutega mabomu kwenye nyumba na magari. Ikaendelea na kutega mabomu masokoni na mitaani.
Hakuna asiyejua kuwa ile vita Israel alisaidiwa na USA,UK,FRANCE na Germany kudungua makombora ya Iran.
Na hakuna asiyejua kuwa IRAN ilimpiga Israel hadi Israel akaomba kusaidiwa kusitisha vita.
Ukweli mchungu ni kuwa Iran ni zaidi ya hiko kataifa cha Israel unachokisifia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…