Ccm kama kawaida yao watakimbiaWakuu,
Mwakani wagombea Urais wanatakiwa kufanyiwa mdahalo kama huu ulioendesha leo na Star Tv.
Kupitia mdahalo huo unaona kabisa huyu anafaa huyu amejaa pumba, na wengine wapo kwaajili ya kujaza nafasi tu.
Hii itasaidia wananchi kufanya maamuzi sahihi na kutodanganyika na doti za kanga au kofia za vyama.
Au nasema uongo chawa na nyuki wa mama?
Ccm wanajiandaa kutumia mfano wa demokrati kumdop binti kiziwi asigombeeUnataka mama angu Akimbie kwenye uongozi Kama babu yangu biden
Mdahalo ni kitu cha kuiga kwa wazunguMdahalo ni Kwa mujibu wa sheria au Kwa mujibu wa hisia zenu binafsi? Sio Kila kitu ni Cha kuiga Kwa Wazungu
Ndio,kwani ni lini Tzn imekuwa ikifanya midahalo ya wagombea Urais?Mdahalo ni kitu cha kuiga kwa wazungu
Hapana waandishi wawili wa Tanzania naona wanaweza Kuna Salimu Kikeke na Odemba Tuwape sifa zao tu wanaendesha Mijadala fikirishi na yenye Tija sana
Umewahi kushuhudia Odemba akihoji Viongozi w Serkali kama Msemaji mkuu wa serkali,Gambo,Makamu wa Rais wa Zanzibar na wengine wa Serkali kama mawaziri na wakuu wa Mikoa na wilaya nitajie Interview Odema aliyoshindwa kuuliza Maswali..Kikeke na Odemba hawana ujasiri wa kuuliza viongozi wa Ccm maswali magumu. Wanafurukuta huku kwa wapinzani tu.
Umewahi kushuhudia Odemba akihoji Viongozi w Serkali kama Msemaji mkuu wa serkali,Gambo,Makamu wa Rais wa Zanzibar na wengine wa Serkali kama mawaziri na wakuu wa Mikoa na wilaya nitajie Interview Odema aliyoshindwa kuuliza Maswali
ccm walipompata BW Mkapa mwenye uwezo binafsi waliutaka mdahalo. Baada ya hapo wamekuwa wakwepaji!Wakuu,
Mwakani wagombea Urais wanatakiwa kufanyiwa mdahalo kama huu ulioendesha leo na Star Tv.
Kupitia mdahalo huo unaona kabisa huyu anafaa huyu amejaa pumba, na wengine wapo kwaajili ya kujaza nafasi tu.
Hii itasaidia wananchi kufanya maamuzi sahihi na kutodanganyika na doti za kanga au kofia za vyama.
Au nasema uongo chawa na nyuki wa mama?
Huwa wanaangalia na uwezo wa mgombea wao, wakiona ni kilaza hiyo midahalo huwa hawataki hata kuisikia...lakini mgombea akiwa vizuri wanakubali, mfano enzi za Mkapa walikubali midahaloKwa nini ccm huwa hawataki midahalo?
Au nasema uongo chawa na nyuki wa mama?
Tatizo unafananisha Nchi Yenye katiba Nzuri na nchi ambayo bado katiba yake inahitaji Marekebisho..umeona interview aliyofanyiwa Rais Ruto na wale waandishi wa watatu?
..Tangu kuumbwa kwa Tanganyika umewahi kuona waandishi wa Kitanganyika walio informed, na wanaojiamini namna ile?
Hawezi hata kujieleza anategemea police na NET fake ya CCMHivi Unadhani Inawezekana! Kwanini Samia akajikaange mwenyewe.
Tatizo unafananisha Nchi Yenye katiba Nzuri na nchi ambayo bado katiba yake inahitaji Marekebisho
Chama chetu huwa kiaweka mpira kwapaniWakuu,