2025 Tunahitaji wabunge wengi wa upinzani kuliko kawaida

2025 Tunahitaji wabunge wengi wa upinzani kuliko kawaida

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu.

Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali.

Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua.

Najua siku chadema wataanza mikutano ya hadhara mwanga mpya utaonekana CCM Watapelekwa puta Ile mbaya.
 
Nilishasema chadema wasituchezee tunahitaji wabunge 250+ inchi inazama jahazi linazama mkuuu hii ni urgent.
 
Uko sahihi sana mkuu, moja ya sehemu ambayo chadema wanafeli ni kuwekeza nguvu kubwa kwene kutaka urais wakat mpaka leo kuna majimbo zaidi ya 20 upinzani haupo.kabisa.
Huwa nasema mala zote wawekeze nguvu kubwa kwene kuongeza idadi ya madiwani na wabunge, wakifanikiwa hilo hata marekebisho ya sheria yatakuwa ni yenye tija
 
Hakuna cha Urais wala ubunge.. Kote kwepesi mno... Wasimamishwe watu sahihi na sisi tujitokeze kuwapigia kura..
 
Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu.

Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali.

Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua.

Najua siku chadema wataanza mikutano ya hadhara mwanga mpya utaonekana CCM Watapelekwa puta Ile mbaya.
Unfortunately wabunge wa upinzani wengi wao ni njaa,sasa nani atawachagua kwa ahadi hewa? Toa kitu upate kitu.
 
Labda kama wananchi watasitisha ulaji wa ugali na wali wale ngano wanaweza pata ufahamu.
 
Tatizo lenu ni kusema chadema wawaletee watu badala ya kuhamasisha vyama vyote visimamishe watu wenye akili timamu na uchungu na wananchi, hao mnaowalilia hawana tofauti na msiowataka na sehemu zingine wanawekwa mpka vichaa wanaenda kutaka kuwa mandonga tu wenzao humo bungeni badala ya kusimama kwenye nguvu ya hoja.
VYAMA VYOTE VYA SIASA VIJIPANGE MAJIMBONI WAPIGAKURA TUNAWASUBIRI.

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu.

Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali.

Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua.

Najua siku chadema wataanza mikutano ya hadhara mwanga mpya utaonekana CCM Watapelekwa puta Ile mbaya.
Lowassa na Dr Slaa waliacha wabunge 113. Kaja tundulissu na sera ya matusi akawaputoff wapiga kura kila alikoenda. Ni bahati mbaya/nzuri hakwenda Sumbawanga (hakuna lami wala viyoyozi!!) ndipo ikawa bahati yake mbunge wa pekee wa CHADEMA. Wananji wa Mpanda na vitongoji wake wanashukuru tundulissu hakuja.
 
Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu.

Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali.

Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua.

Najua siku chadema wataanza mikutano ya hadhara mwanga mpya utaonekana CCM Watapelekwa puta Ile mbaya.
Wapinzani wapi?hao wanaojiuza kama machangudoa baada ya uchaguzi?Mie nashauli CCM watafute watu makini wakuwakilisha bungeni,ili kuepuka kurudia uchaguzi mala mbili, upinzani bado sana,eti mna miaka 20+ bado viongozi wa upinzani wanaazima watu CCM ili wawakilishe kugombea kiti cha urais, Sasahivi nchi unamatatizo kibao lakini wanafanya hawayaoni kisa mbaya wao Magufuli hayuko, Sasahivi eti wako wanasubiria majibu ya Samia baada ya tume ya malidhiano 🤣🤣 akuna Mtu yeyote anayeweza kujinyonga mwenyewe,labda awe amevamiwa na Mapepo,eti upinzani unasubiria fadhira za Samia kiongozi wa CCM 🤣🤣kichekesho kingine hiki.Haki haiombwi inalazimishwa by Mkapa voice.
 
Anza kuchukua fomu we anonymous.sina unapenda Sana TZ.

Kwa jinsi watu mliovyokuwa wapumbavu,mzigo wa ukombozi mnawaachia chama Fulani.kwani CDM hawana mambo ya kufanya mpaka uwaaamrishe wawatafutie wabunge..kwani CDM Wana uchungu sanaaaa na hii nchi? Wao wnyewe Wana mambo ya kufanya,yani ukagombee upigwe na kuwindwa na wa kijani kisa specie zinazoitwa waTanzania? Utakuwa ni upumbav.
 
Back
Top Bottom