The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Unfortunately wabunge wa upinzani wengi wao ni njaa,sasa nani atawachagua kwa ahadi hewa? Toa kitu upate kitu.Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu.
Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali.
Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua.
Najua siku chadema wataanza mikutano ya hadhara mwanga mpya utaonekana CCM Watapelekwa puta Ile mbaya.
Lowassa na Dr Slaa waliacha wabunge 113. Kaja tundulissu na sera ya matusi akawaputoff wapiga kura kila alikoenda. Ni bahati mbaya/nzuri hakwenda Sumbawanga (hakuna lami wala viyoyozi!!) ndipo ikawa bahati yake mbunge wa pekee wa CHADEMA. Wananji wa Mpanda na vitongoji wake wanashukuru tundulissu hakuja.Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu.
Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali.
Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua.
Najua siku chadema wataanza mikutano ya hadhara mwanga mpya utaonekana CCM Watapelekwa puta Ile mbaya.
Wapinzani wapi?hao wanaojiuza kama machangudoa baada ya uchaguzi?Mie nashauli CCM watafute watu makini wakuwakilisha bungeni,ili kuepuka kurudia uchaguzi mala mbili, upinzani bado sana,eti mna miaka 20+ bado viongozi wa upinzani wanaazima watu CCM ili wawakilishe kugombea kiti cha urais, Sasahivi nchi unamatatizo kibao lakini wanafanya hawayaoni kisa mbaya wao Magufuli hayuko, Sasahivi eti wako wanasubiria majibu ya Samia baada ya tume ya malidhiano 🤣🤣 akuna Mtu yeyote anayeweza kujinyonga mwenyewe,labda awe amevamiwa na Mapepo,eti upinzani unasubiria fadhira za Samia kiongozi wa CCM 🤣🤣kichekesho kingine hiki.Haki haiombwi inalazimishwa by Mkapa voice.Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu.