Habari za asbh
Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka anaweza kumrithi mheshimiwa Dr Magufuli 2025.
Nimefurahi pia alivyohamishiwa wizara nyeti zaidi ya Mambo ya nje kimataifa kwani anaenda kupata exposure ya juu zaidi duniani.
Ni mawazo na matamanio yangu.
Tofa
Anakwenda kupambana kupiga deki Kusafisha maamuzi Mengi ya mkuru kinyume na mikataba ya kimataifa
Atakwama, kule sio humu ndani, MTU akikuuliza unajibu facts, na hakuna kudanganya wala ubabaishaji.