2025 Yawezekana Akawa Kabudi

2025 Yawezekana Akawa Kabudi

Habari za asbh
Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka anaweza kumrithi mheshimiwa Dr Magufuli 2025.
Nimefurahi pia alivyohamishiwa wizara nyeti zaidi ya Mambo ya nje kimataifa kwani anaenda kupata exposure ya juu zaidi duniani.
Ni mawazo na matamanio yangu.

Tofa

Anakwenda kupambana kupiga deki Kusafisha maamuzi Mengi ya mkuru kinyume na mikataba ya kimataifa

Atakwama, kule sio humu ndani, MTU akikuuliza unajibu facts, na hakuna kudanganya wala ubabaishaji.
 
january makamba aliyepata division zero form 6 au january yupi?
Mkuu uongozi sio division mkuu. Uongozi ni Intelligence kwa maana nzima ya neno Intelligence. Mbona hii dr inatupelekesha si ilipata div. 1.
 
Kuliko kuwaweka hao wote bora tuendelee na magu tu
Makamba anawakimbiza hao wote mbaya sana linapokuja suala la Uongozi na kwa mana nzima ya uongozi. Unajua Kiongozi lazima uwe na sifa moja kubwa "KUSIKILIZA". Huwezi endesha taasisi kubwa kwa kutegemea mawazo yako.
 
Habari za asbh
Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka anaweza kumrithi mheshimiwa Dr Magufuli 2025.
Nimefurahi pia alivyohamishiwa wizara nyeti zaidi ya Mambo ya nje kimataifa kwani anaenda kupata exposure ya juu zaidi duniani.
Ni mawazo na matamanio yangu.

Tofa
Huyo ndoo raisi ajae ndiyo maana kapelekwa huko hao wengine wazee wa kutumia fasihi watasubiri Sana walizoea kudekezwa Hadi wakaweka deko kuwa maraisi jpm kashakatakata minyororo yao nchi hii siyo ya kufanyiwa majaribio na wahuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asbh
Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka anaweza kumrithi mheshimiwa Dr Magufuli 2025.
Nimefurahi pia alivyohamishiwa wizara nyeti zaidi ya Mambo ya nje kimataifa kwani anaenda kupata exposure ya juu zaidi duniani.
Ni mawazo na matamanio yangu.

Tofa
Kuna akina Kabudi wawili.

1. Yule mjumbe wa Tume ya Waryoba kuhusu katiba mpya.

2. Huyu wa sasa aliyemkana yule wa kwanza.

Unamzungumzia Kabudi yupi?

Hata akina Slow slow wapo wawili. Ama kweli Tanzania ni watu wawili wawili.
 
Mkuu ukitaka kufanya kazi ya kisiasa lazima uwe flexible la sivyo hutokaa hata week. Ndio maana hata chadema kipindi kile walimtukana Lowasa na baadae wakaja kumpa nafasi kubwa. So ndio huyo huyo sio watu wawili

Tofa
 
Back
Top Bottom