Habari za asbh
Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka anaweza kumrithi mheshimiwa Dr Magufuli 2025.
Nimefurahi pia alivyohamishiwa wizara nyeti zaidi ya Mambo ya nje kimataifa kwani anaenda kupata exposure ya juu zaidi duniani.
Ni mawazo na matamanio yangu.
Tofa
Mkuu uongozi sio division mkuu. Uongozi ni Intelligence kwa maana nzima ya neno Intelligence. Mbona hii dr inatupelekesha si ilipata div. 1.january makamba aliyepata division zero form 6 au january yupi?
Makamba anawakimbiza hao wote mbaya sana linapokuja suala la Uongozi na kwa mana nzima ya uongozi. Unajua Kiongozi lazima uwe na sifa moja kubwa "KUSIKILIZA". Huwezi endesha taasisi kubwa kwa kutegemea mawazo yako.Kuliko kuwaweka hao wote bora tuendelee na magu tu
Kupata zero form six vina uhusiano gani na mtu kuwa rais?january makamba aliyepata division zero form 6 au january yupi?
kama havina uhusiano tusubiri msukuma au kibajaji aje kuwa rais,tatizo CCM imeharibu sana watu kwa kuwabadilisha mitazamo na watu sasa wana fikra kuwa mtu yoyoyte anaweza kuwa kiongozi
Atakuwa amependa jinsi anavyokodoa kama mjusi kabanwa na mlangoKitu gani umekipenda anapotoa maelekezo na majibu?
Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
we unavyomuona anakaribia kuwa na miaka mingapi? 30?Kwani kwa sasa ana miaka mingapi?
kapata zero wapi?january makamba aliyepata division zero form 6 au january yupi?
Huyo ndoo raisi ajae ndiyo maana kapelekwa huko hao wengine wazee wa kutumia fasihi watasubiri Sana walizoea kudekezwa Hadi wakaweka deko kuwa maraisi jpm kashakatakata minyororo yao nchi hii siyo ya kufanyiwa majaribio na wahuniHabari za asbh
Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka anaweza kumrithi mheshimiwa Dr Magufuli 2025.
Nimefurahi pia alivyohamishiwa wizara nyeti zaidi ya Mambo ya nje kimataifa kwani anaenda kupata exposure ya juu zaidi duniani.
Ni mawazo na matamanio yangu.
Tofa
Amuka kumekucha ikulu Kuna kazi gani ngumu uraisi NI taasisi huoni mgabe alivyoongoza Hadi kufikia miaka93acha kuota wewe 2025 kabudi atakuwa na miaka mingapi?
Kuna akina Kabudi wawili.Habari za asbh
Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii.
Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka anaweza kumrithi mheshimiwa Dr Magufuli 2025.
Nimefurahi pia alivyohamishiwa wizara nyeti zaidi ya Mambo ya nje kimataifa kwani anaenda kupata exposure ya juu zaidi duniani.
Ni mawazo na matamanio yangu.
Tofa
2015 zile push up zilikuwa za nn in comparison?Amuka kumekucha ikulu Kuna kazi gani ngumu uraisi NI taasisi huoni mgabe alivyoongoza Hadi kufikia miaka93
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wa kufikiri!
Kwani TZ kuna ukomo wa umri wa kugombea URAIS?
Mkuu ukitaka kufanya kazi ya kisiasa lazima uwe flexible la sivyo hutokaa hata week. Ndio maana hata chadema kipindi kile walimtukana Lowasa na baadae wakaja kumpa nafasi kubwa. So ndio huyo huyo sio watu wawiliKuna akina Kabudi wawili.
1. Yule mjumbe wa Tume ya Waryoba kuhusu katiba mpya.
2. Huyu wa sasa aliyemkana yule wa kwanza.
Unamzungumzia Kabudi yupi?
Hata akina Slow slow wapo wawili. Ama kweli Tanzania ni watu wawili wawili.