Wenyewe hawataki shobo wala hawataki support ya ngozi nyeusi inayo jiita waafrika. So hizo hopes zenu mzipeleke ghana senegalMorocco inabidi wapite hii ndo last hope for Africa.
Wenyewe hawataki shobo wala hawataki support ya ngozi nyeusi inayo jiita waafrika. So hizo hopes zenu mzipeleke ghana senegal
🤣🤣🤣 wachache tu ndio wana hope nao.Wenyewe hawataki shobo wala hawataki support ya ngozi nyeusi inayo jiita waafrika. So hizo hopes zenu mzipeleke ghana senegal
Sio ushabiki wetu ni walivyo sema wao wenyeweRightfully so. Ushabiki wenu hauwaongezei au kupunguza chochote kile kwao.
So long as wameingia under CAF ni timu ya Africa sijaongelea ushabiki hapa.