Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Aliwakilisha na kuwasilisha ya wenzake dressing roomHilo alisema mmoja wao tu 2022.
Aliwakilisha na kuwasilisha ya wenzake dressing roomHilo alisema mmoja wao tu 2022.
Sio ushabiki wetu ni walivyo sema wao wenyewe
😁😁 Wametabiriwa kuwa bingwaUholanzi hamna timu. Matapeli watupu wamejazana.
Akitoka na uholanzi sifatilii tena mechi zilizobak
Matokeo yakoje?Morocco wamechezea chance nyingi sana Wanastahili kupoteza.
Kitonga16 bora mshindi wa hii game anakutana na Canada
Matokeo yakoje?