RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Nikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".
Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.
Nawatakia mapumziko mema