RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
- Thread starter
- #21
Huyo kijana January makamba jina lake lina kelele hasa kule kwenye wizara ya nishati na report ya CAG ameacha majonzi makubwa wazee kwa vijana wanamwandama Sana hawataki kumsikia wizara ya nishati iliyumba hadi mama aliposema hapana nakupenda lakini hapa toka njoo huku! n.k kijana huyo wananchi hawataki kumsikia kabisa labda chawa wake Tu shida ndiyo hiyo!Huyo hafai hata kuwa waziri, achilia mbali urais!
Ukiachilia huyo na Yule mwenye PhD anayejidai anajuwa uchumi kauli zake watu kuhamia Burundi na mengine pia hawa wanaharufu mbaya kwa wananchi