Una mashaka anaweza kuwa ni Rwandes mwenzake?Alafu we jamaa unampigia sana chapuo huyo mtu
Huyo hafai hata kuwa waziri, achilia mbali urais!Yote heri, kwangu January Makamba ndie mwanadiplomasia anaefaa kuuvaa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taifa linahitaji mabadiliko ya kimkakati, hasa ule wa ushirikiano wenye tija baina ya mataifa sambamba na uwekezaji makini kutoka nje.