2030 Wakatoliki wana mgombea gani ndani ya CCM? Kafulila atatosha ?

2030 Wakatoliki wana mgombea gani ndani ya CCM? Kafulila atatosha ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Mwaka 2030 sio mbali sana na kwa Hali ilivyo kama CCM hakitagawanyika na kusambaratika uhalisia mchungu ni wao kuendelea kutawala kupitia chaguzi za hadaa na nguvu ya vyombo vya dola.

Tunachotakiwa kama raia wa nchi hii ni kuchagiza walete angalau wagombea wenye nafuu wenye akili na haya kiasi fulani ambao pamoja na wao kula hawatakula kama mchwa bali wataachia angalau makombo kidogo kwa raia wa kawaida nao waokoteze .

Sasa kwenye hicho chama kwa kiasi fulani mtu wa aina hiyo alikuwa amebaki Nchimbi ambaye naye amezimwa kama mshumaa.
Nani mwingine atakuwa mwenye afadhali ukizingatia ni zamu wa Wakatoliki?

Hembu tuchukue muda kumtafakari Kafulila wa PPP kama ana afadhali.

#Free Tundu Lissu
#Never again October 29
 
Hivi ni CCM ndio wana mgombea au wakatoliki ndio wana mgombea?

Kwani huyo mgombea wa wakatoliki huwa anateuliwa na TEC?!
 
Back
Top Bottom