Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika.
Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana. Mambo muhimu yataongelewa kwenye mikutano itakayofanyika kila mkoa hivyo tusubiri mikutano yao ianze baada ya mhe. Lissu kuwasiri.