21/01/2023 CHADEMA walifanya uzinduzi wa mikutano, baada ya hapo ratiba ya mikutano itafuata

21/01/2023 CHADEMA walifanya uzinduzi wa mikutano, baada ya hapo ratiba ya mikutano itafuata

Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika. Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana. Mambo muhimu yataongelewa kwenye mikutano itakayofanyika kila mkoa hivyo tusubiri mikutano yao ianze baada ya mhe. Lissu kuwasiri.
Kwahiyo ratiba ya Mkutano wa Chadema jijini Mwanza itakuwa lini?
 
Kila uzinduzi unakuwa na main theme ambayo kupitia kwayo subthemes zinaendelea. Mkutano wa jana main theme ulikuwa ni kumuimbia mama mapambio na kiwakaripia wote wanaomsema vibaya mama na mbowe. Tutarajie mikutano italalia kwenue hiyo agenda
Uzinduzi unaweza ukawa na shukurani kwa waliowezesha jambo kufanyika.
 
Mnaoshabikia kuwa ulikuwa mkutano tuelezeni nani alikuwa mhutubiaji rasmi.
 
S
Utapangwa baadae, kwenye uzinduzi Chadema wsngeweza kumkaribisha mtu yeyote hata chifu Hangaya kuwazindulia na baada ya hapo anaondoka.
Siku ya Mkutano wa Hadhara Jijini Mwanza unitag. Kutoka Kijijini Rubambangwe, Chato kuja Mwanza sio mbali. Nitakuja kama nilivyokuja jana.
 
S

Siku ya Mkutano wa Hadhara Jijini Mwanza unitag. Kutoka Kijijini Rubambangwe, Chato kuja Mwanza sio mbali. Nitakuja kama nilivyokuja jana.
Ungekuwa ni mtunza kumbukumbu ungelijua hilo kwani limewahi kufanyika.
 
Mwenyekiti asipewe tena nafasi ya kuongea, naona anaanza vitisho vya kuwa katumia fedha zake nyingi. Lakini hasemi amechuma mabilioni mangapi akiwa CDM. Afahamu CDM sio shamba lake.
Nategemea Sana uwe mjuvi wa siasa.
 
Mwenyekiti asipewe tena nafasi ya kuongea, naona anaanza vitisho vya kuwa katumia fedha zake nyingi. Lakini hasemi amechuma mabilioni mangapi akiwa CDM. Afahamu CDM sio shamba lake.
Tindo una shida kidogo na mwenyekiti naona! Kuna mahali kakukwaza pakubwa!? Nadhani nobody is perfect!
 
Ratiba inayofuata tafdhali mwambieni asinywe tena gongo.
 
Mtu anayeukumbatia ujinga ni mjinga na anaona sifa kuwa mjinga, kumbuka kuna wanafunzi hujisifu kwa kutoroka vipindi.
Misukukule ya mwendazake bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom