Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hakuna kitu li chama lenu lilishapotea njia, usijifarijiWengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika. Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana. Mambo muhimu yataongelewa kwenye mikutano itakayofanyika kila mkoa hivyo tusubiri mikutano yao ianze baada ya mhe. Lissu kuwasiri.
Kamanda Asiyechoka umepata mfuasi.Mwenyekiti asipewe tena nafasi ya kuongea, naona anaanza vitisho vya kuwa katumia fedha zake nyingi. Lakini hasemi amechuma mabilioni mangapi akiwa CDM. Afahamu CDM sio shamba lake.
Naona umeanza kuzinduka.Mwenyekiti asipewe tena nafasi ya kuongea, naona anaanza vitisho vya kuwa katumia fedha zake nyingi. Lakini hasemi amechuma mabilioni mangapi akiwa CDM. Afahamu CDM sio shamba lake.
Kila uzinduzi unakuwa na main theme ambayo kupitia kwayo subthemes zinaendelea. Mkutano wa jana main theme ulikuwa ni kumuimbia mama mapambio na kiwakaripia wote wanaomsema vibaya mama na mbowe. Tutarajie mikutano italalia kwenue hiyo agendaWengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika. Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana. Mambo muhimu yataongelewa kwenye mikutano itakayofanyika kila mkoa hivyo tusubiri mikutano yao ianze baada ya mhe. Lissu kuwasiri.
Naona umeanza kuzinduka.
Ubwege wa kuabudu ufisadi wa MboweKuzinduka kwenye nini boss?
Ubwege wa kuabudu ufisadi wa Mbowe