Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
boss ujinga ni mbaya...hizi bei si za Kenya pekee bali ni za kimataifa...hata ukienda ulaya na marekani...geothermal plant ni bei hio hio tu...sio hizi zenu za 21 mil utadhani ni generator ya mafuta taa...lol! kisha mnasifia..ππmnazingua kweli...plant yenyewe sidhani hata kama itafika 5 MW kwa bei hio...Usilete mambo ya ufisadi wa Kenya kwani wewe ndio unaye uza hizo plant? Nyie mnaambiwa bei mnaitikia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ninyi ni kapuku na wangese hakuna msilolijua mna shinda jf kusubiri kukosoa yaani kitu chochote kilichofanywa na nchi nyingine au rais wa nchi nyingine ndio kizuri kitu chochote kinachofanywa hapa Tanzania au na Rais wa Tanzania kibaya kazi kutoa kasoro ndio maana nawaita waganga wa kienyeji kwa taarifa yenu Kenya ni wapiga dili hakuna mfano sasa ninyi ndio mliopata proforma invoice? Kanunueni nyie basi ikitajwa bei ya juu ohoo wamepiga ikitajwa ya chini ohoo haiwezekani wachawi nyieboss ujinga ni mbaya...hizi bei si za Kenya pekee bali ni za kimataifa...hata ukienda ulaya na marekani...geothermal plant ni bei hio hio tu...sio hizi zenu za 21 mil utadhani ni generator ya mafuta taa...lol! kisha mnasifia..ππmnazingua kweli...plant yenyewe sidhani hata kama itafika 5 MW kwa bei hio...
kwanza, punguza povu....pili, unataka kusema ni lazima utumiwe proforma invoice ili ujue bei ya kitu flani? kwa mfano serikali ya tz imejenga barabara, pia stadium kama ile ya Dar imejengwa na serikali, airports, ndege, treni, etc....ina maana ulitumiwa wewe invoice pamoja na watz wote? pumbavuuu mkubwa...ama kweli sijui ulisoma shule ipi wewe...pengine ni kuwache tu...Kweli ninyi ni kapuku na wangese hakuna msilolijua mna shinda jf kusubiri kukosoa yaani kitu chochote kilichofanywa na nchi nyingine au rais wa nchi nyingine ndio kizuri kitu chochote kinachofanywa hapa Tanzania au na Rais wa Tanzania kibaya kazi kutoa kasoro ndio maana nawaita waganga wa kienyeji kwa taarifa yenu Kenya ni wapiga dili hakuna mfano sasa ninyi ndio mliopata proforma invoice? Kanunueni nyie basi ikitajwa bei ya juu ohoo wamepiga ikitajwa ya chini ohoo haiwezekani wachawi nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili matakoni kabisa kwani bei ya plant unauliza kama tikiti maji sokoni ?kwanza, punguza povu....pili, unataka kusema ni lazima utumiwe proforma invoice ili ujue bei ya kitu flani? kwa mfano serikali ya tz imejenga barabara, pia stadium kama ile ya Dar imejengwa na serikali, airports, ndege, treni, etc....ina maana ulitumiwa wewe invoice pamoja na watz wote? pumbavuuu mkubwa...ama kweli sijui ulisoma shule ipi wewe...pengine ni kuwache tu...
kubishana na mtu kama wewe ni kujishusha kiakili...nimetoka...Akili matakoni kabisa kwani bei ya plant unauliza kama tikiti maji sokoni ?
Sent using Jamii Forums mobile app
kubishana na mtu kama wewe ni kujishusha kiakili...nimetoka...
Usitoke tafadhari tunakuhitaji utupandishe akili mkuukubishana na mtu kama wewe ni kujishusha kiakili...nimetoka...