$21.7 Million has been approved by AfDB for the Geothermal Project.

Usilete mambo ya ufisadi wa Kenya kwani wewe ndio unaye uza hizo plant? Nyie mnaambiwa bei mnaitikia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
boss ujinga ni mbaya...hizi bei si za Kenya pekee bali ni za kimataifa...hata ukienda ulaya na marekani...geothermal plant ni bei hio hio tu...sio hizi zenu za 21 mil utadhani ni generator ya mafuta taa...lol! kisha mnasifia..😀😀mnazingua kweli...plant yenyewe sidhani hata kama itafika 5 MW kwa bei hio...
 
Sasa mnagombana nini.. hili linatakiwa kuwa jambo la kufurahia..

FYI kwa wabongo na waKenya. Hizo hela ni za exploration drilling na sio production. Na ndugu zetu waKenya wanatusaidia sana kwenye ishu za technical kwa kuwa wao wameshaifanya hii kazi.

Tanzania tofauti na Kenya ina vyanzo vingi.. ukizingatia sasa serikali ipo bize sana kwenye Stiegler's gorge dam, so Geothermal is not so sexy to them, currently.

After all hii habari inafanya nini kwenye forum ya Kenya?
 
boss ujinga ni mbaya...hizi bei si za Kenya pekee bali ni za kimataifa...hata ukienda ulaya na marekani...geothermal plant ni bei hio hio tu...sio hizi zenu za 21 mil utadhani ni generator ya mafuta taa...lol! kisha mnasifia..😀😀mnazingua kweli...plant yenyewe sidhani hata kama itafika 5 MW kwa bei hio...
Kweli ninyi ni kapuku na wangese hakuna msilolijua mna shinda jf kusubiri kukosoa yaani kitu chochote kilichofanywa na nchi nyingine au rais wa nchi nyingine ndio kizuri kitu chochote kinachofanywa hapa Tanzania au na Rais wa Tanzania kibaya kazi kutoa kasoro ndio maana nawaita waganga wa kienyeji kwa taarifa yenu Kenya ni wapiga dili hakuna mfano sasa ninyi ndio mliopata proforma invoice? Kanunueni nyie basi ikitajwa bei ya juu ohoo wamepiga ikitajwa ya chini ohoo haiwezekani wachawi nyie

kwanza, punguza povu....pili, unataka kusema ni lazima utumiwe proforma invoice ili ujue bei ya kitu flani? kwa mfano serikali ya tz imejenga barabara, pia stadium kama ile ya Dar imejengwa na serikali, airports, ndege, treni, etc....ina maana ulitumiwa wewe invoice pamoja na watz wote? pumbavuuu mkubwa...ama kweli sijui ulisoma shule ipi wewe...pengine ni kuwache tu...
 
Wakenya wajinga sana yaani $21mil waliambiwa ni ndogo hahahahaa sisi kwetu inatosha geothermal power plant maana ni Tsh. Bil. 470 kwetu na inabaki, sijui huko mlidanganywa kwamba ni shilingi ngapi kwenye ule mradi wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza, punguza povu....pili, unataka kusema ni lazima utumiwe proforma invoice ili ujue bei ya kitu flani? kwa mfano serikali ya tz imejenga barabara, pia stadium kama ile ya Dar imejengwa na serikali, airports, ndege, treni, etc....ina maana ulitumiwa wewe invoice pamoja na watz wote? pumbavuuu mkubwa...ama kweli sijui ulisoma shule ipi wewe...pengine ni kuwache tu...
Akili matakoni kabisa kwani bei ya plant unauliza kama tikiti maji sokoni ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom